SurveyJ.co Ipoje?

Abeid L Msanganzila

Senior Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
187
Reaction score
429
Habari za asubuhi wakuu??
Samahani kwa usumbufu:

Moja kwa moja kwenye maada!
Wakuu, nimekutana na hii "surveyj.co" huko google. Inadaiwa unaweza kujipatia hela kupitia hii Surveyj.co

Sasa kibongo bongo sijui kama inafanya kazi maana nineona wanalipa kupitia Bay pal, Bitcoin, CashApp nk lakini kibongo bongo sijaona njia ya kuwafanya Watanzania wanufaike nayo kwa malipo!

Hivyo kama kuna Mtanzania amewahi kulipwa na hawa jamaa tafadhari naomba maelezo yako ulivyolipwa!

Asante👇👇👇👇

Hizo rate ziko juu mno, kuna dalili ya udanganyifu.

nakupa mbinu ndogo tu, ukiona kuna survery hasa ya kuangalia video tu unapewa USD $1 na kuendela. Achana nayo, kafanyo mambo mengine internet yako.
 
Hizo rate ziko juu mno, kuna dalili ya udanganyifu.

nakupa mbinu ndogo tu, ukiona kuna survery hasa ya kuangalia video tu unapewa USD $1 na kuendela. Achana nayo, kafanyo mambo mengine internet yako.
Nashukuru mkuu🙏
 
CashApp ikoje wakuuu ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…