Acha ubahili.Mim ni kijana wa kitanzania tokea nakua nahisi Nina damu ya kunguni nimekua ni mtu wa kukatawaliwa na wanawake pona yangu ni masturbation na dada poa, ni mwanamke mmoja tu alinikubalia lakin baada ya siku mbili alinipotezea, nimejaribu jamiiforum love connect Nako hola inaumiza Ila nimejifunza ni Bora kukubaliana na uhalisia ndo pona yangu
Umri umeenda nataka niwe na familia changamoto kila mwanamke ananikataa option iliyopo nina kama kiasi flani cha fedha sitaki kukiweka sababu ntaonekana kama natumia mbinu ya kutafutia wanawake huku jf, kwa hiyo nimeona ni bora nitafute mtoto kwa njia ya surrogate
Wazazi na familia, marafiki na watu wanaonijua kwa ujumla watakua disappointment ila this is the way it is
Japokua najenga familia kupitia surrogate sichukii na sina kinyongo na wanawake au wanawaume ambao Wana mpango wa kuoa, au kuiponda ndoa kufanya hivyo nitajiingiza kwenye stress kitu ambacho nakikwepa sana najitahidi nistay positive
"Mda mwingine maisha hayakupi kile unachotaka Bali unachostahili"
Hana mtoto tena hataki ana miaka kama 44 ivi ndo maana aliachana na nikki bella hataki mtoto John cenaJohn Cena jana mtoto?
Tupe real life ushahidi, sasa mtu akikuloga ukataliwe tu na wadada kimapenzi nia yake inakua nini?Msimbishie inawezekana kabisa...mambo ya kulogwa hayoo
Masharti ya illuminati hayo...wazungu banaHana mtoto tena hataki ana miaka kama 44 ivi ndo maana aliachana na nikki bella hataki mtoto John cena
Una gunduTupe real life ushahidi, sasa mtu akikuloga ukataliwe tu na wadada kimapenzi nia yake inakua nini?
Siku hizi hata mm nikikubaliwa Na wadada, nakubaliwa na wadada wa hovyo, Yani nkiwaona natamani hata kutapika, utakuta mtongozo nafikisha nusu naacha kufuatilia mdada, Yani sipati wadada quality ya kawaida ninayotaka, hope u understand witnessj
[emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu, kwani kabandikwa account balance usoni?
Cristiano hakuwa na shida ya kukimbiwa na wanawake ila yeye aliamua tu kuwa iwe style yake ya kuwa na watoto. Pisi Kali kibao zilikuwa tayari kumzalia ila yeye hakutaka. Akaopt surrogacy, zaidi ya yote Cristiano ili uwe naye lazima Kwanza ukubalike kwa mama yake na dada zake wawili Elma na Katia ambao ni aina ya wadada/mawifi wa kibongo. Kwa hyo inawezekana kote alikopita Cristiano mama na dada hawakuafiki kuwa aanzishe familia ndo maana akaopt surrogacy maana yeye alikuwa anataka mtoto/watoto. Ila alipokutana na mrembo Georgina ambaye alikuwa sales assistant GUCCI store ndani ya Madrid Cristiano akiwa na lengo la kula tu mbususu na kusepa...ila muda ulivozidi kwenda akajikuta amependa mazima na kumuweka ndani. Story ndefu Sana ila Georgina ni wife material trust me. Na anakubalika balaa kwenye familia ya CristianoEven Cristiano alianza hivyo then akaja pata mwenza.
Go just go,
Jamaa atakuwa na shida mahaliKama saivi wapo watano wananipigia simu wanataka kuja Ila nawakwepa