Surprise visits.....

lizzy unajua ule wimbo wa bruno mars anavuta piano hivi jina silikumbuki, kwenda kumsurprise mpenzi wake?yaani akamwimbie, kufika anamwona dirishani anabusiwa na kukumbatiwa, sometimes ni nzuri na inalipa, ila wakati mwingine utajuta kuzaliwa
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Surprise visit kwangu ni mwisho wa mahusiano! Kwanini univizie ukikuta Co....doms sebuleni utauliza? Niambie nijiandae
 
lizzy unajua ule wimbo wa bruno mars anavuta piano hivi jina silikumbuki, kwenda kumsurprise mpenzi wake?yaani akamwimbie, kufika anamwona dirishani anabusiwa na kukumbatiwa, sometimes ni nzuri na inalipa, ila wakati mwingine utajuta kuzaliwa

Chances za kujuta kuzaliwa ni kubwa zaidi...!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mi akija hivyo gafla gafla bila taarifa analala nje na nina mtimua akishtukiza hivyo
 
lizzy unajua ule wimbo wa bruno mars anavuta piano hivi jina silikumbuki, kwenda kumsurprise mpenzi wake?yaani akamwimbie, kufika anamwona dirishani anabusiwa na kukumbatiwa, sometimes ni nzuri na inalipa, ila wakati mwingine utajuta kuzaliwa
Hahahah....mi nimesikiliza tu ule wimbo ila sijaangalia video yake ...nimeichungulia tu!!Nwy yrahh kama mwenzako sio mwaminifu unalo...!
 
Nnunu mimi na wewe pamoja.Binafsi naona raha kupata kitu bila kufikiria/kupanga/kutarajia kukipata. Yani hata nikikuta vijicent kidogo kwenye wallet/nguo niliyosahau muda mrefu hata kama sina shida nayo ntatabasamu mpaka basi weeeeeee.

LIZZY naunga hoja yako 100% (kama bungeni ...lol)

Kufanyiwa kitu ambacho hakikuwa kwenye mawazo yangu,
najisikia raha kupita kiasi, hata kama nilikuwa kwenye moody mbaya/tatizo kiasi gani,
basi ghafla najikuta hiyo hali ya huzuni utoweka na kujawa na furaha ghafla.

Kwa mfano mdogo tu ,nimetoka kutafuta mkate wako wa kila siku,
nimerudi nyumbani nijichokea na ikitokea labda hiyo siku nimeudhiwa nilikotoka,
nimefika home nimejirusha stng rm au chumbani kwa uchovu,nasinzia au naangaza huko na huku ndani
kwangu , ghafla naiona zawadi ya kitu chochote imekaa mahali inasubiri niifungue,au namwona mtu ninayejisikia
raha kuwa karibu naye (mume/mpenzi/ndugu/rafiki) anajitokeza mbele yangu, yaani najisikia raha na furaha kupita kiasi.
Hasira,uchovu,huzuni vyote vinanitoweka ghafla uso wote unakunjuka kwa mshangao wa tabasamu la nguvu.
 
LIZZY naunga hoja yako 100% (kama bungeni ...lol)Kufanyiwa kitu ambacho hakikuwa kwenye mawazo yangu,najisikia raha kupita kiasi, hata kama nilikuwa kwenye moody mbaya/tatizo kiasi gani,basi ghafla najikuta hiyo hali ya huzuni utoweka na kujawa na furaha ghafla.Kwa mfano mdogo tu ,nimetoka kutafuta mkate wako wa kila siku,nimerudi nyumbani nijichokea na ikitokea labda hiyo siku nimeudhiwa nilikotoka,nimefika home nimejirusha stng rm au chumbani kwa uchovu,nasinzia au naangaza huko na huku ndanikwangu , ghafla naiona zawadi ya kitu chochote imekaa mahali inasubiri niifungue,au namwona mtu ninayejisikiaraha kuwa karibu naye (mume/mpenzi/ndugu/rafiki) anajitokeza mbele yangu, yaani najisikia raha na furaha kupita kiasi.Hasira,uchovu,huzuni vyote vinanitoweka ghafla uso wote unakunjuka kwa mshangao wa tabasamu la nguvu.
Na mimi naunga kuunga hoja...lolzz!Nashangaa wenzetu wanaona kero!
 
Basi na kukiss...kukumbatiana na mengine mnayofanya huko vyumbani acheni maana yote mmeiga!!

Hayo hatujaiga kwa mtu yeyote Lizzy, na wala si kwenye drama za kwenye runinga. Hayo yalikuwepo tangu enzi za Adam na Hawa/Eva!!
 
Lizzy hizi ni nzuri but isiwe too much kwa sababu itafika wakati mwenzio ataanza kuzitafsiri vinginevyo: Humuamini, wivu n.k tafsiri ambazo zitamfanya asifurahie tena ujio wako.

Ila pia inategemea na usafi wa mtu (Hana vimeo lol) kama ni msafi mydia kwake atafurahi but kama ndo ana-vi'shughulisho' vingine utakuwa unamzibia.

Nilisawahifanya moja, nikapata nilichopata na nikaapa kutorudia tena!!


LOL, hahahhhaaahhha!!!....nawe kila tufani umepitia LOL!!!
Pole habibty, sikucheki bana...lahhh...hahhaahhhaa...

...hizo ndio zile surprises halafu unajikuta unaji surprise mwenyewe!
kuna moja niliifanya, nikakuta nyumba nyeupe!!!...hayupo kumbe nae kasafiri!
aliporudi tukabaki tunashangaana tu...aaarrrgggghhh....

....haifai, ni bora kutoa taarifa mwenzio ajiandae. Ni kutafuta jiudhi tu bure.
 
Hayo hatujaiga kwa mtu yeyote Lizzy, na wala si kwenye drama za kwenye runinga. Hayo yalikuwepo tangu enzi za Adam na Hawa/Eva!!
Acha uwongo wewe...babu wa bibi yako alikua anajua FRENCH KISS ni kitu gani!?Watu wakianza kua kama wewe hata mtaani itabidi tutembee uchi maana kuvaa nguo nayo tuliiga.Ndoa za kanisani tuliiga kupitia dini aliyoleta mzungu...umeme..njia za usafiri...elimu vyote tumeiga!
 
Na mimi naunga kuunga hoja...lolzz!Nashangaa wenzetu wanaona kero!

Labda wana sababu za msingi zinazowafanya wajisikie kero kufanyiwa suprise.
mi naendelea kusoma sababu zao hapa huwenda zina mshiko japo muda huu,
naona wengi (siyo wote) wanaogopa kufumaniwa.....lol.
 
Back
Top Bottom