hawako series.jumatatu imefika kaka, imetoka leo na bei mkasi vile vile ya win 8 ndo around 900 usd na ya winrt ndo 450usd
hawako series.
wapo serious sema hazijatengenezwa kwa watu wa chini
surface pro 2 ni kali vibaya mno
procesor ni intel i5
ram 8 gb
kioo inch 10 full hd 1920x1080
usb 3.0
full windows 8.1
surface ya mwaka jana ilikua inawaka kwa sekunde 6 tu ya mwaka huu ni 20% faster huenda ikawaka ndani ya sekunde 5 tu.
sasa imagine power yote hiyo ndani ya tablet ya inch 10 tu, kuna apps mln 5 za window jumlisha mln 1 za android una lundo la vitu vya kufanya
Kaka sijakuelewa hapa. Umesema kuna Apps Mil 5 za Window na Mil 1 za Android... Sasa Android anahusika vipi na Surface? Kwani inatumia platform mbili?
hapo sawa hawajatengenezwa kwa watu wa chini coz waafrika huwa tunaangalia sana os na version ngapi unless otherwise iwe na very unique features kama vile s4 n.k??? maana kutoa milioni kwa ajili ya tablet tu wakati most of the thing unaweza kupata katika tab nyingine...sio kitu kidogo hasa kwa sisi masikini..wapo serious sema hazijatengenezwa kwa watu wa chini
surface pro 2 ni kali vibaya mno
procesor ni intel i5
ram 8 gb
kioo inch 10 full hd 1920x1080
usb 3.0
full windows 8.1
surface ya mwaka jana ilikua inawaka kwa sekunde 6 tu ya mwaka huu ni 20% faster huenda ikawaka ndani ya sekunde 5 tu.
sasa imagine power yote hiyo ndani ya tablet ya inch 10 tu, kuna apps mln 5 za window jumlisha mln 1 za android una lundo la vitu vya kufanya
hapo sawa hawajatengenezwa kwa watu wa chini coz waafrika huwa tunaangalia sana os na version ngapi unless otherwise iwe na very unique features kama vile s4 n.k??? maana kutoa milioni kwa ajili ya tablet tu wakati most of the thing unaweza kupata katika tab nyingine...sio kitu kidogo hasa kwa sisi masikini..