Sura za watu wa arusha..

Sura za watu wa arusha..

Ha ha ha, arachuga wanaangalia la kuchumpa na kupalama,,,
 
Kwa hiyo watu wa Arusha hawaendi Dodoma hata siku moja?
Au,
Ina maana watu wanaokwenda Arusha ni wenyeji pyua wa mkoa wa Arusha? Hakuna wanaofanya biashara, wafanyakazi, watembeleaji-casual, au hata transits wa kwenda nchi za jirani?
 
Back
Top Bottom