Sasa ulitegemea WATOTO wawapigie KURA? Kaa chini uisome namba ya Magufuli.Nao pia ni watu na wanakuwa, wanajua kuwa kinachosababisha wanapata mlo mmoja kwa siku CCM ( tena mlo mmoja kwa shida). Wanaosababisha kukaa kwenye mawe na kwenye vumbi darasani ni CCM, wanaosababisha kukosekana kwa umeme ni CCM, maji ya shida CCM, maisha magumu ni CCM.
sasa unataka wafurahie nini?
Good riddanceLowassa sasa akachunge ng'ombe