Sura za Huzuni tupu

Nao pia ni watu na wanakuwa, wanajua kuwa kinachosababisha wanapata mlo mmoja kwa siku CCM ( tena mlo mmoja kwa shida). Wanaosababisha kukaa kwenye mawe na kwenye vumbi darasani ni CCM, wanaosababisha kukosekana kwa umeme ni CCM, maji ya shida CCM, maisha magumu ni CCM.
 
Hizo hela za ujenzi wa barabara ndiyo zilizoenda kujenga Kebby hotel barabara mbovu
 

Kwaio unajivunia barabara mbovu? ccm wezi tu ? Wanaoichagua ccm ni maskini,wajinga na wasiojielewa ndio maana hiyo mikoa haina maendeleo kabisa.sasa jiji la dar lipo chini ya ukawa subili muone mziki wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…