Culture the great
Member
- Aug 21, 2016
- 12
- 12
Wanajukwaa kiukweli ukiuangalia upinzani wa Tanzania uko katika makundi makuu matatu.
1. Upinzani njaa: Huu upo kwa nia ya kujikomba na kutengeneza platform kwamba upo lakini haupo. Upinzani huu siku zote unapingana na hoja za kimapinduzi na siku zote unakibeba na kukisupport chama tawala.Mifano mnayo.
2. Upinzani umaarufu. Huu huonekana wakati wa uchaguzi tu. Na huu siku zote chama kinakuwa hakina ofisi wala wajumbe. Ila huu upo tu ili kupunguza nguvu au kupunguza kura wakati wa uchaguzi hasa mkuu.
3. Upinzani mageuzi: Huu ni wa lile kundi linalotaka mabadiliko. Siku zote hili kundi linaipa pressure serkali na pia linaishauri. Kundi hili lina nguvu na hoja Ila linazungukwa na wanafiki, mamluki na vibaraka wachache wasiopenda mabadiliko.
Kwa kuangalia hiyo mifano mitatu sishangai kuvugika kwamkutano wa CUF. Na sikushangaa Dk Slaa na Prof Lipumba kuvikacha vyama vyao mwaka jana wakati wa uchaguzi mkuu.
Watanzania wapenda mabadiliko tuna safari ngumu sana kuyafikia mabadiliko tunayoyataka.
# UKUTA
.