Sura ya mwanamke kwenye noti mpya Marekani

Sura ya mwanamke kwenye noti mpya Marekani

Hiin idea imetokana na mtoto mmoja wa kike aliyemuandikia Rais obama kuuliza ni kwanini wanawake hawapewi nafasi kubwa pamoja na umuhimu wao kwa taifa...akahoji kwanini bank notes zote hakupata kuona sura ya mwanamke...ndipo ukaanza mchakato wa kuwaempoer wanawake,na kwa kuanzia wataweka sura yake kwenye $ 10 na huyu mtoto aliyeleta hii propossal atakuwa balozi wa mchakato huo!
 
Ingekuwa ni njia mahususi ya kumuenzi Bi. Titi kama ingekuwa ni Tanzania!
 
Mie ninashauri kama kwetu wakilileta hili.... Napendekeza waweke ya WEMA alipokuwa akikatika kwenye shoo ya Daimondi.. Tena iwekwe kwenye noti ya elfu10
 
Mie ninashauri kama kwetu wakilileta hili.... Napendekeza waweke ya WEMA alipokuwa akikatika kwenye shoo ya Daimondi.. Tena iwekwe kwenye noti ya elfu10

Kwahiyo wakiweka hiyo picha ya wema, atakuwa anakatika tuu km kwny hiyo show ya Diamond
 
Kwahiyo wakiweka hiyo picha ya wema, atakuwa anakatika tuu km kwny hiyo show ya Diamond

Yeah! Kwani hauoni shilingi yetu inavyokatika mbele ya dola u pound... Wamweke tu ili tufahamu tumeamua kuikatikia dola na paundi vizuri
 
Back
Top Bottom