issa ramadhani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 1,319
- 260
Taarifa kutoka benk kuu ya Marekani imesema kuwa wamepanga kutoa noti mpya za dola kumi zenye picha ya mwanamke.
Taarifa hiyo imesema kuwa inawaomba wamarekani wapendekeze jina la mwanamke ambae ataweza kuwekwa picha yake katika noti hizo.
Chanzo: BBC SWAHILI.
Je, kama ingekuwa ndo Tanzania wewe ungempendekeza nani?
Mimi ningempendekeza Lulu au Zari, Wewe je?