Sura ya Michael Jackson mwili Nyumba

Muyabi colors

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2024
Posts
2,679
Reaction score
3,828
Hii ni moja ya picha (MJ look-alike) inayo trend sana hivi sasa mitandaon, inasemekana jamaa ni mtu kutokea Mexico, amefanana kinoma noma na The late Michael Jackson.

Watu wanadai hakuna video Clip yoyote kuhusiana na huyu jamaa na kwa umri wake na ukubwa wa teknolojia, basi tungefahamu muda sana kuwa kuna mtu kafanana na MJ vibaya mno, hivyo wengi wanaamini hiyo picha sio halisi bali huyo mtu kawekwa sura ya MJ kwasababu ukii-zoom maeneo ya masikioni kuna alama kama muunganiko wa sura mbili.

Michael Kobisi Jackson 😂
 
AI hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…