KISS 100
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 528
- 1,125
Wasalamu,hii kitu inanichanganya sana,unaweza Kuta mwanamke ana sura,ana Tako ila Tabia ni sio nzuri kivile.
Unaweza Kuta mwanamke ana sura ya kawaida tu na Tako la kuibia tu ila ana adabu balaa.
Hapa ndipo wengi wanafeli mana Sura sio Tabia na Tabia sio sura.
Hapa ndipo wengi wanaanza kufeli.
Unaweza Kuta mwanamke ana sura ya kawaida tu na Tako la kuibia tu ila ana adabu balaa.
Hapa ndipo wengi wanafeli mana Sura sio Tabia na Tabia sio sura.
Hapa ndipo wengi wanaanza kufeli.