Sura na Picha ya CHADEMA

Sura na Picha ya CHADEMA

RACHEL + JK).....................hahahahahahaaaa..........hahahaa,..................etteteee.........
hii kali ya mwaka sijapata kuona...nilikuwa sijui mapacha watatu walivyobatizwa jina la mdada.
 
Basi tufanye comparison na SURA YA CCM:

1) UFISADI syndrome- Pesa nyingi kuchukuliwa na kuendelea kuwalinda wezi hao kwa nguvu zote, na huduma za jamii kuendelea kudorora.
2) PROPAGANDA syndrome- Jamii kuendelea kudanganywa ili waogope kuvunja amani as much as possible, kutunga uwepo udini ili kuendeleza chuki za tabaka/chama fulani na wachache kuendelea kunufaika. Viongozi kupiga taarabu na uswahili kwenye maslahi ya taifa.
3) UJINGA syndrome- Viongozi wa juu kutojua chanzo cha umaskini Tanzania na hivyo kuendelea kuamini uwekezaji kupitia wageni na kuomba misaada kwa wingi ndo jawabu la maendeleo.

Kazi kwako kuchagua....

Message sent!
 
What about ccm? Ccm imejikita kwenye mzee?

Ccm=======chama cha mafisadi.
 
Mlimtuma Shibuda tumemtumua, eti LUXURY basi, una Luxury gani wewe? na Magamba yenu waone, eti Mnasimama mnasema hamjawapa siku 90 na hamna list, Luxury My foot
 
Kujaribu kuijua sura na Picha ya CDM, nadhani si vibaya japo naona reaction ya baadhi ya wadau ni hasi(-ve).

Kwa uelewa wangu, huwezi kulinganisha CCM na CDM kwa namna yoyote ile. CCM ni chama kikongwe na of course tawala. Kina mtandao mkubwa, raslimali watu(experienced) na fedha. Wakati CDM ni changa, kikiwa na raslimali watu wachache(un-experienced) na bado kifedha hali si nzuri....japo ukweli ni chama chenye mvuto kwa watanzania, hususani vijana.

Ninachojaribu kusema, ni kwa nini bado kwenye CDM watu kama Mh. Zitto anaonekana ni threat? Simjui vizuri Mh. Zitto, lakini ninadhani Mh. Zitto yuko very smart, hakurupuki na anajua kusoma alama za nyakati. Tazama anavyonyanyapaliwa Mh. Shibuda! na wengine wengi......wanaokufa kibudu.....Swali ni je, haya yote ni sababu ya usisi ndo waanzilishi, ni sisi tunaotoka kanda Z au ni sisi wenye chama?
 
Back
Top Bottom