Red Scorpion JF-Expert Member Feb 1, 2012 5,736 4,252 Jan 12, 2016 #3 Usicheze nanjaaa, kumbuka wale waliokaa mgodini kwa siku 41 walikua wanakula vitu gani
masanza1 JF-Expert Member Jan 14, 2015 288 139 Jan 13, 2016 #5 Kama sijajua ni kitu gani najigongea tuuu
Innocizy JF-Expert Member Dec 5, 2011 1,736 1,049 Jan 13, 2016 #6 Red Scorpion said: Usicheze nanjaaa, kumbuka wale waliokaa mgodini kwa siku 41 walikua wanakula vitu gani Click to expand... Wale wamekula hata nnya zao. Pia nna mashaka mwenzao aliyekufa yamkini walimfanya kitoweo
Red Scorpion said: Usicheze nanjaaa, kumbuka wale waliokaa mgodini kwa siku 41 walikua wanakula vitu gani Click to expand... Wale wamekula hata nnya zao. Pia nna mashaka mwenzao aliyekufa yamkini walimfanya kitoweo
ALLEX JF-Expert Member Mar 15, 2011 2,006 343 Jan 14, 2016 #8 UNA KULA TU MAANA MNOFU WAKE UNAUWEKEA MAWAZO YA SAMAKI..