Supu boflo...!!!!

Ayaaaa. umenitamanisa ngoja nibadili njia, naacha kwenda kanisani nikapate supu kwanza.
Supu hiyo inaonekana ya ulimi mchanganyiko na mbavu
 
daah! umenitamanisha sana.. itabidi niiweke kwenye ratiba zangu za wiki hii.
 
Asante Allah kwa supu nilokua leo hapa Ocean View posta. Nampenda sana mume wangu.
 
Tulikua tunaita Mikate ya mbosoli iyo[emoji2]

Vjana wazamani mmenielewa bila shaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…