THK DJAYZZ
JF-Expert Member
- Sep 14, 2011
- 2,166
- 175
Kuna 50,000/= kama ukipata swali langu
"am serious" naku2mia
kwa njia ya M-pesa, Airtel money, Tigo pesa or Z pesa.
NITAJIE MAJINA YA WALE WATU WANAOSHIKANA MIKONO KILA UKIWASHA SIMU YA NOKIA.
niulize chochote kuhusu SAMSUNG
Nokia yangu ya tochi...hamna wanao shikana mikono.
Ngoja nika google nitakuletea jibu, tafadhari itunze hiyo hela yangu
Mmmmmh!!! Nimesoma harakaharaka nikidhani yale maswali yetu ya mahesabu... Hiyo mi hata uniwekee 1m siwezi,labda kama ukigoogle inajibu.
hamna haja ya kugoogle hao ni THK DJAYZZ na WAHEED SUDAYNasubir mkuu
Near by Ilolo Mbeya.