FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,417
Kujitakia matatizo tu, kwa nn usimtaarifu mwenzio kama unaenda ili ajiandae.
Ahaa! Ili ajiandae kukupangeni foleni siyo? Haambiwi mtu na nikimfumania kama hivyo,na dume afu jike linakula talaka papo hapo.najiexpress
Kujitakia matatizo tu, kwa nn usimtaarifu mwenzio kama unaenda ili ajiandae.
Ahaa! Ili ajiandae kukupangeni foleni siyo? Haambiwi mtu na nikimfumania kama hivyo, najiexpress na dume afu jike linakula talaka papo hapo.
Ahaa! Ili ajiandae kukupangeni foleni siyo? Haambiwi mtu na nikimfumania kama hivyo, najiexpress na dume afu jike linakula talaka papo hapo.
Taratibu,Nitalivua pendo kama MJ1 kama mambo yenyewe ndio haya.Ngoja nianze kutunga shairi(Fl1 samahni nimeendakidogo off topic)
Xpin umeshawahi kumfanyia wife suprise ??
Taratibu,Nitalivua pendo kama MJ1 kama mambo yenyewe ndio haya.Ngoja nianze kutunga shairi(Fl1 samahni nimeendakidogo off topic)
Just kidding! You know I can't do such a dirty thing darling. Vipi Suprise zangu?
Nielewesheni waungwana mathalani uko mbali Arusha mala ghafla bin vuu unaibukia kiwanja cha mwenzi wako DSM ,Mbeya ,Kigoma whatever kumfanyia suprise inapendeza katika kuimarisha penzi ??
Quote" kaka mmoja alitoka Arusha kwenda DSM kumfanyia Mchumba wake suprise DSM akiwa na magift kibao huku akimaini usiku huo utakuwa full shangwe kwani anaenda kum-engage mpendwa wake..mida ya saa nne usiku amefika katika geti la mchumba mala anamuona anaingia ndani na njemba wako kilaji huku wamekumbatiana kwa mahaba..hatima ya penzi lao waliachana ...
Je inafaa kumfanyia mwenzio suprise bila kumpa taarifa ??
FL1🙁
hapo kwenye quote umeshajijibu mtu wangu
bado sijajijibu kibweka ni kwe nini mtu uamue kufanya suprise kwa mwenzio bila kumpa taarifa??
Ina mvuto zaidi !!? Or
Surprise I believe ni poa katika mahusiano inachangia ku-rekindle mapenzi.lakini jamani uwe tayari pia kuyajua mengi mwenza wako anyoyafanya 'while u were away'.... ni njia moja ya kumfumania kama ana spare part mbili tatu u never know... so just be prepared for anything!! sipendi kuimagine huyo mwenza wako akiwa ni Xspin, Fidel...utakayoyaona duh!!!
bado sijajijibu kibweka ni kwe nini mtu uamue kufanya suprise kwa mwenzio bila kumpa taarifa??
Ina mvuto zaidi !!? Or
Shishi unaonaje ukiniomba radhi kabla sijakuombea dua baya?