Supreme leader(Zito) asusa mutant wa Ukawa

Supreme leader(Zito) asusa mutant wa Ukawa

Makupa

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
7,235
Reaction score
4,342
Nikiwa kama mwana ccm,sikushngazwa kutukuwepo kwa Kiongozi yoyote kutoka ccm kuhudhuria ukaribisho wa Mzee lowassa kuwa mwanachama mpya wa cdm.Ninachojiuliza inakuwaje Kiongozi mkuu wa Act kutukuwepo kwenye mkataba wa leo?
 
ACT sio UKAWA.
Eboooooooooooo.
Mbona swali lako hata mtoto wa miaka 3 analijibu kitaa.
 
Hivi kwani Dovutwa alikuwepo ? Kwani Mrema alikuwepo ? kwani Mtikila alikuwepo?
 
Nikiwa kama mwana ccm,sikushngazwa kutukuwepo kwa Kiongozi yoyote kutoka ccm kuhudhuria ukaribisho wa Mzee lowassa kuwa mwanachama mpya wa cdm.Ninachojiuliza inakuwaje Kiongozi mkuu wa Act kutukuwepo kwenye mkataba wa leo?

Acha kulazimisha hoja? Kwani hujui kama ACT iliandika barua ya maombi ya kujiunga na UKAWA mpaka kesho hawajajibiwa na hawatajibiwa hata keshokutwa. Unajua tafsiri ya kutojibiwa?..............mpuuzi, huna maana na mengine mengi ambayo sitaki kutaja hapa kwa ajili ya maadili. Afu eti sizitaki mbichi hizi kiongozi mkuu wa ACT anasema hawawezi kujiunga na ukawa kwa sababu wao wanafuata azimio la tabora kama vile anahisi watanzania ni wehu hawajui kilicho wasibu.
 
Hamna shida, Richard Mugizi aka Nyani Ngabu atawakilisha
 
ACT = CCM kama hukushangaa ccm kutohudhuria pia usishangae ACT hao ni duhu moja.
 
Jamaa JINGA hilo. Ushangae nini sasa hapo?
 
Baada ya introduction ya Lohassa naona Zitto naye karibia atajiunga,maana hata majeshi ya marekani yanapigana Syria lakini hawajui kwanini wako vitani...hahahahah

Pasco kama nakuona vipi nikuagizie Dompo baridiiii shemeji?Leo siku ha kujipongeza au?????
 
Leo uko so happy tuambie siri ya urembo umepata kadi ya CDM?Mie nasubiria kupokea watu airport watakaoamua kuhama Tanzania!!!!!

Yeah nna furaha nimepata jina jipya. Naitwa Richard Mugizi siku hizi. NiGoogle unione.
 
ACT WALIOMBA WAPEWE VIGEZO VYA KUJIUNGA,NA UKAWA ILA AKANYIMWA NDIO AKATOA SPEECH YAKE MBOVU, IPATE HAPA millardayo.com
 
Back
Top Bottom