Suppose wewe ungekuwa hawa; F.A. Mbowe, Tundu Lissu, John Mnyika,John Heche, Halima Mdee na ama Godbless Lema CCM wakaja kutaka "kukununua"......

The Palm Tree

JF-Expert Member
Apr 13, 2013
7,951
12,535
1. Unadhani wanaweza kuja na ofa ya "K" ngapi?

2. Nini ingeweza kuwa reaction yako "kupewa ofa ya kununuliwa?"

3. Je, unadhani kwa Freeman A. Mbowe, Tundu A.M. Lissu na Godless Lema wakitoa ofa ya 10bn kila mmoja CCM wangejiuliza mara ngapi kuikubali na kulipa?

4. Hili ni la ziada lakini la MUHIMU, kwamba, ruzuku ya CCM ni shingi ngapi kweli kwa mwezi? Kama ndivyo, huwa wanatoa wapi pesa mabilioni haya ya "kununulia binadamu?"

NB:
å Nimefikiri kwa sauti kubwa tu jamani na sina nia mbaya yoyote kufikiria hivi kwa watu hawa....

å Kwa CCM mimi ninavyowafahamu naamini miongoni mwa watu wanaowatafuta kwa gharama yoyote ni hawa ikiwemo hata kwa KIFO....!!

Tundu Lissu alikuwa wa kwanza kutaka kununuliwa kwa gharama ya yeye mwenyewe KUFA....

Thank God, kifo kiligoma kumchukua TL kwa sababu maalumu azijuazo Bwana Mungu peke yake....!!
 
Yule Mama aliyehamia ccm diwani wa Mbeya naona mumewe ambaye ni dereva ananunua gari used ya kutembelea. Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom