Suphian agombea CCM-Taifa, atia msumari suala la Ngorongoro, waraka wa Rais Samia

Suphian Juma

Senior Member
Apr 2, 2019
133
546
SUPHIAN AGOMBEA CCM TAIFA, ATIA MSUMARI SUALA LA NGORONGORO, WARAKA WA RAIS SAMIA.

Aliyekuwa Afisa Habari wa ACT wazalendo na mgombea wa Ubunge Jimbo la Singida Magharibi mwaka 2020, na Mwanachama wa sasa wa Chama cha Mapinduzi CCM, Suphian Juma Nkuwi leo Julai 5, 2022 amejitosa kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi unaoendelea Nchi nzima.

Mwanachama huyo kindakindaki wa CCM ambaye amegeuka mtetezi mkuu wa Rais Samia na Chama cha Mapinduzi mtandaoni, akizungumza na waandishi wa Habari mjini Singida amesema amechukua fomu tatu ambazo ni Mjumbe wa Mkutano mkuu wa Chama Taifa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Taifa (wajumbe 15 Bara) pamoja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Mkoa wa Singida.

Kada huyo alipoulizwa kwanini ameamua kujitosa katika vinyang'anyiro hivo amejibu:

"Ndugu waandishi nimechukua fomu, moja ni kwasababu ni haki yangu ya kikatiba katika chama, pili watu wengi wamenishawishi nichukue fomu kwa kuona uzoefu wangu katika siasa nchini kama kijana, lakini tatu, nadhani ni muda mwafaka sasa kutoka kwenye siasa za mitandao na kuingia kwenye vikao vya maamuzi vya Chama na kuongeza chachu katika uimarishaji na ushawishi wa Chama kwa wananchi"

Bwana Suphian, alipoulizwa na waandishi kuhusu misimamo yake mikali dhidi ya Wanaharakati na Wapinzani na barua ya Prof Issa Shivji juu ya Sakata Ngorongoro na Loliondo amesema:

"Kwanza Nashangaza sana kuona Wanaharakati, Wapinzani na Prof Issa kuweka nguvu kubwa kuhimiza Wamaasai kubaki Ngorongoro badala ya kuwahimiza waondoke kupisha uhifadhi wa Ngorongoro ambayo ni Urithi wa Dunia na Fahari ya Tanzania Duniani."

"Suala la kuhamishwa limetokana na ushauri wa kisayansi wa UNESCO kwa Serikali za Tanzania kwa zaidi ya miongo mitano sasa baada ya Wamaasai na mifugo yao kuongezeka kuzidi wanyapori tofauti Sheria ya kuundwa kwa Hifadhi ya Ngorongoro ya mwaka 1959 na hivyo kuathiri ikolojia nzima ya Ngorongoro" alisema Suphian

"Sasa ukienda Ngorongoro unakuta na Wamasai na ng'ombe tu kuliko kumwona simba wala swala, unaweza kujiuliza hii ni Hifadhi ya Wamasai na mifugo Ngorongoro?"

Suphian akaendelea kusema kwamba: Ngorongoro duniani ni moja na HAIHAMISHIKI, ila Wamasai wanaweza kuhamishwa pengine nchini kama ambavyo makabila mengine kama Wanyaturu wa Singida walivyohamishwa na Serikali Makazi yao tangu tupate Uhuru 1961 kupisha ujenzi wa miradi ya Maendeleo kama barabara, zahanati na shule kutokana na Sheria ya Ardhi ya mwaka 1999 ambazo zinasema Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya umma na muda wowote inaweza kubadilishwa matumizi na Serikali.

"Kwanini makabila mengine yahamishwe Makazi yao, ila Maasai wasihamishwe? Hao wanaharakati ni wabaguzi na wakabaila." aliongezea Suphian

Kuhusu Prof Issa Shivji alisema wale wanaomwambia mtandaoni hana haki ya kumkosoa Profesa, amesema yeye anatumia Uhuru wake wa kujieleza kama ilivyoelekezwa kwenye ibara ya 18 ya Katiba ya Tanzania, na kwamba imeandikwa wapi Prof haruhusiwi kukosolewa ikiwa ukweli ni kwamba Elimu haina Mwisho? Alihoji.

Amesisitiza waandishi waache propaganda kutaka kumchafua Rais Samia kwa hoja zaidi maana huyu Rais ni wa kipekee sana kwani anaheshimu Demokrasia, Haki za Binadamu, Utawala wa Sheria na ndio maana katika siku ya Julai 1 mwaka huu katika Miaka 30 ya Mfumo wa Vyama vingi Rais aliotoa waraka wa kipekee akieleza Falsafa yake yenye nguzo nne; MARIDHIANO, USTAHAMILIFU, MABADILIKO NA KUJENGA UPYA, vitu ambavyo hakuna Rais yeyote alitangaza na kutenda tangu mfumo wa Vyama vingi uanze Rasmi nchini.

Mwisho Kada Suphian alitumia fursa hiyo ya kuongea na waandishi wa Habari kuwaomba wanachama wa Chama cha Mapinduzi kujitokeza kutumia haki yao ya kikatiba kugombea nafasi mbalimbali
za uongozi, huku akiwasisitiza pia WaTanzania wote kujiandaa kuhesabiwa kwenye sensa itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu.

C&P
IMG_20220713_140111_315.jpg
IMG_20220713_140214_207.jpg
IMG_20220713_140151_135.jpg
 
Unapoteza tu muda wako. Huwezi kushinda hata nafasi tu ya ubalozi kwa hii ccm ya sasa! Na katika hili, ujitahidi kuniamini. Labda ile ccm ya Magufuli, walau ungeonewa huruma.

Wrong target, wrong timing my young brother.
Mkuu umesahau Kuna watu walipewa Ubunge wa Vimemo? Basi jua kwa CCM hata huyo dogo pengine Kuna mtu kamtuma hapo.
 
SUPHIAN AGOMBEA CCM TAIFA, ATIA MSUMARI SUALA LA NGORONGORO, WARAKA WA RAIS SAMIA.

Aliyekuwa Afisa Habari wa ACT wazalendo na mgombea wa Ubunge Jimbo la Singida Magharibi mwaka 2020, na Mwanachama wa sasa wa Chama cha Mapinduzi CCM, Suphian Juma Nkuwi leo Julai 5, 2022 amejitosa kuwania nafasi mbalimbali katika Uchaguzi wa Chama cha Mapinduzi unaoendelea Nchi nzima.

Mwanachama huyo kindakindaki wa CCM ambaye amegeuka mtetezi mkuu wa Rais Samia na Chama cha Mapinduzi mtandaoni, akizungumza na waandishi wa Habari mjini Singida amesema amechukua fomu tatu ambazo ni Mjumbe wa Mkutano mkuu wa Chama Taifa, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Taifa (wajumbe 15 Bara) pamoja na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Mkoa wa Singida.

Kada huyo alipoulizwa kwanini ameamua kujitosa katika vinyang'anyiro hivo amejibu:

"Ndugu waandishi nimechukua fomu, moja ni kwasababu ni haki yangu ya kikatiba katika chama, pili watu wengi wamenishawishi nichukue fomu kwa kuona uzoefu wangu katika siasa nchini kama kijana, lakini tatu, nadhani ni muda mwafaka sasa kutoka kwenye siasa za mitandao na kuingia kwenye vikao vya maamuzi vya Chama na kuongeza chachu katika uimarishaji na ushawishi wa Chama kwa wananchi"

Bwana Suphian, alipoulizwa na waandishi kuhusu misimamo yake mikali dhidi ya Wanaharakati na Wapinzani na barua ya Prof Issa Shivji juu ya Sakata Ngorongoro na Loliondo amesema:

"Kwanza Nashangaza sana kuona Wanaharakati, Wapinzani na Prof Issa kuweka nguvu kubwa kuhimiza Wamaasai kubaki Ngorongoro badala ya kuwahimiza waondoke kupisha uhifadhi wa Ngorongoro ambayo ni Urithi wa Dunia na Fahari ya Tanzania Duniani."

"Suala la kuhamishwa limetokana na ushauri wa kisayansi wa UNESCO kwa Serikali za Tanzania kwa zaidi ya miongo mitano sasa baada ya Wamaasai na mifugo yao kuongezeka kuzidi wanyapori tofauti Sheria ya kuundwa kwa Hifadhi ya Ngorongoro ya mwaka 1959 na hivyo kuathiri ikolojia nzima ya Ngorongoro" alisema Suphian

"Sasa ukienda Ngorongoro unakuta na Wamasai na ng'ombe tu kuliko kumwona simba wala swala, unaweza kujiuliza hii ni Hifadhi ya Wamasai na mifugo Ngorongoro?"

Suphian akaendelea kusema kwamba: Ngorongoro duniani ni moja na HAIHAMISHIKI, ila Wamasai wanaweza kuhamishwa pengine nchini kama ambavyo makabila mengine kama Wanyaturu wa Singida walivyohamishwa na Serikali Makazi yao tangu tupate Uhuru 1961 kupisha ujenzi wa miradi ya Maendeleo kama barabara, zahanati na shule kutokana na Sheria ya Ardhi ya mwaka 1999 ambazo zinasema Ardhi yote ya Tanzania ni mali ya umma na muda wowote inaweza kubadilishwa matumizi na Serikali.

"Kwanini makabila mengine yahamishwe Makazi yao, ila Maasai wasihamishwe? Hao wanaharakati ni wabaguzi na wakabaila." aliongezea Suphian

Kuhusu Prof Issa Shivji alisema wale wanaomwambia mtandaoni hana haki ya kumkosoa Profesa, amesema yeye anatumia Uhuru wake wa kujieleza kama ilivyoelekezwa kwenye ibara ya 18 ya Katiba ya Tanzania, na kwamba imeandikwa wapi Prof haruhusiwi kukosolewa ikiwa ukweli ni kwamba Elimu haina Mwisho? Alihoji.

Amesisitiza waandishi waache propaganda kutaka kumchafua Rais Samia kwa hoja zaidi maana huyu Rais ni wa kipekee sana kwani anaheshimu Demokrasia, Haki za Binadamu, Utawala wa Sheria na ndio maana katika siku ya Julai 1 mwaka huu katika Miaka 30 ya Mfumo wa Vyama vingi Rais aliotoa waraka wa kipekee akieleza Falsafa yake yenye nguzo nne; MARIDHIANO, USTAHAMILIFU, MABADILIKO NA KUJENGA UPYA, vitu ambavyo hakuna Rais yeyote alitangaza na kutenda tangu mfumo wa Vyama vingi uanze Rasmi nchini.

Mwisho Kada Suphian alitumia fursa hiyo ya kuongea na waandishi wa Habari kuwaomba wanachama wa Chama cha Mapinduzi kujitokeza kutumia haki yao ya kikatiba kugombea nafasi mbalimbali
za uongozi, huku akiwasisitiza pia WaTanzania wote kujiandaa kuhesabiwa kwenye sensa itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu.

C&PView attachment 2289122View attachment 2289123View attachment 2289125
Eti Mwanachama kindakindaki wakati ni Ng'ombe aliyekatia mkia juzi juzi ulikuwa ACT unawatukana Ccm
 
Mzee umeamua kujiripotia😀
 
Back
Top Bottom