Superstars.

Superstars.

yaani ushayaleta huku jamani...niamini siwezi kukusaliti

Lazima niyalete huku wakufanyie tathmini,
Maana ushauri nao pia ni muhimu
Ila usijali ntakuchunguza vyema
Usianze tu kudai mechi mapema
Ntakutema in sec's
 
Kama ni star usithubutu umkabizi nembe hiyo utakuja kujuta.

Ni kweli kabisaaa,

Hawatabiriki hawa jamaa,huwa nikiongea naye picha ya Diamond inanijia anavyobadili wanawake,mie moyo wangu wa nyama
 
Hivi mtu yeyote maarufu hasa mwanamuziki anaweza kumudu kubaki njia kuu,
Kuna njemba moja mtaani inanisumbua kweli eti inamapenzi na mimi,Nimeingiwa na wasiswasi hawa na wale wale wa "Hit en Run"

Madai yake ni kwamba hana mpenzi,ila najua fika nia yake ni Kula.mzigo na kusepa,

Sasa.nataka kujuzwa hawa jamaa wana njia kuu kweli??

Sasa tafakari then chukua hatua.. Majibu ni wewe una njia kuu kweli?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mie sina njia kuu bado niko mawindoni,
Nilisugua goti kwa Mungu anipe wa kwangu ila huyu niliyepewa hapana

Basi hujafunuliwa bado u need to pray more tian,Muomba Mungu hachoki na akichoka shetani anamnyemelea

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Basi hujafunuliwa bado u need to pray more tian,Muomba Mungu hachoki na akichoka shetani anamnyemelea

Sent from my iPhone using JamiiForums

Mungu akutangulie in finding the right partner

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Basi hujafunuliwa bado u need to pray more tian,Muomba Mungu hachoki na akichoka shetani anamnyemelea

Sent from my iPhone using JamiiForums

Bado naendelea kumwomba Mungu najua wakati wa Mungu ni sahihi...
Asante kwa ushauri
 
labda kama unataka presha na mawazo..ila wana mambo mengi sana hao
 
We tian si nilikuwa nakufatilia kwa nyuma siku moja unaniambia "mkuu me napita njia kuu tu" ukanisihi bora kurudi nilikotokea kuliko kuendelea kukuvizia uchochoroni...
Leo inakuwaje unaanza kuhoji hayo au ndo unataka kujitosa??
 
Last edited by a moderator:

Wewe nilikuwa nakupiga chenga kwakuwa unamchumba wako wa anaye kutabiria kwa ndoto,
Mie Sijapata Njia Kuu,
Na sina tabia ya kuchepuka kabisa kwa kuwa kujiheshimu ni jambo zuri sana
 
Hahahahahahag uviziaji wangu ulikuwa ni kabla wa yule wa ndoto mkuu.
 
Hahahahahahag uviziaji wangu ulikuwa ni kabla wa yule wa ndoto mkuu.

Hahhaahah......

Basi haukuwa mpango Wa Mungu Nikutane nawe,
Huenda nilikuwa naepushiwa mengi
 
Back
Top Bottom