Supermarket inauzwa bei ya kutupa

salimkabora

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,445
1,225
Ina mashelf ya kisasa detachable, mafriza, mafriji three door, acs, trolleys, majiko ya mikate, ya keki, mixers, friers, bugger grills, berbeque, popcorn machine, juicers,etc. Vyote milioni kumi na sita pekee piga 0754 843388. Hiyo ni bei ya kutupa majiko pekee dukani ni zaidi ya pesa hizo. Wahi ufaidike.
 

Elli Mshana

Verified Member
Mar 17, 2008
37,550
2,000
Vipi naskia ipo Jirani na eneo la uwekezaji pale Magogoni kama alivyoshauri Mzee Mwanakijiji eeeh, pale ni pazuri sana kwa hii supermarket ndio maana hata hio bei ni sawa na bure kabisaaa
 
Last edited by a moderator:

salimkabora

JF-Expert Member
Nov 10, 2012
2,445
1,225
Haipo magogoni lakini nitoe tu shukrani kwa wale ambao wangetaka bado kuwasiliana na mimi niwaarifu tu kwamba tayari imeshachukuliwa chapchap
 
Top Bottom