Superjet crash: Huge blow to Russia's aviation industry | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Superjet crash: Huge blow to Russia's aviation industry

Discussion in 'International Forum' started by BabuK, May 10, 2012.

 1. BabuK

  BabuK JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Jul 30, 2008
  Messages: 1,847
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  The Sukhoi Superjet 100 is one of the few passenger aircraft to have been designed and built mainly by Russian companies.

  [​IMG]

  Most other Russian airliners were designed before the collapse of the Soviet Union in 1991.
  Moscow has been keen to present it as evidence of the revival of Russia's aviation industry, which has been hit hard by the collapse of the USSR.
  Experts have criticised the aircraft on some minor counts - but there was never any real doubt about its safety or performance.
  The main concern has always been that the Superjet needs well-prepared airfields - which are few and far between in Russia.
  The Superjet made its maiden flight in April 2011. Since then, it has experienced some minor failures mainly associated with the landing gear.
  [​IMG]
  Preparation problems?
  Wreckage was spotted on the side of a cliff near a dormant volcano

  The crash in Indonesia occurred during an Asian promotional tour of the Superjet.
  It will certainly be a massive psychological blow to the entire Russian aviation industry.
  Industry professionals are not yet using the crash in Indonesia to draw conclusions about the aircraft as a whole. Too little is known about what really happened there.
  Few in Russia are doubting the competence of the crew, either. The aircraft was piloted by professional and experienced pilots.
  Magomed Tolboev, one of Russia's best known test pilots, told Russian media that the crash may have been linked to problems with flight preparation. The flying display took place in extremely difficult mountainous terrain.
  Experts are also drawing parallels between the crash of the Superjet and a similar case with the Russian aerobatic team Russian Knights.
  In 1995, three fighter jets from this unit were returning from an air show in Malaysia. They were coming in to land in Vietnam - at Russia's military base there - and crashed into a mountain.
  At the time, investigators said that the accident occurred because of poor flight preparation.
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,171
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  so sad
   
 3. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  It is sad that Russia seems to be in such a rush to deliver their new products to the world market that they are sending out half-baked goodies!!!! Going back to their old Irushins planes; so far their rate of accidents are still very high in the aviation idustry worldwide and from the world media info it seems there have been some lapses in the maintance and servicing of their existing old models.

  With a big flop like this for their new product (this accident) it will require the Russians to go back to their drawing boards if they are truely interested in making a new entry in the international aviation industry that is very competitive at present and any new entry is not an easy task. Talking of STARTING ON A WRONG FOOT.....
   
 4. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Suruma,

  Acha uongo bana. Hata Airbus waliangusha sana ndege zao wakati wa maonyesho. Kuna ile ilikuwa iwe inaendeshwa na Computer bila abiria, iliruka na ikagoma kupaa na ikaishia kukata miti na kuunguwa palepale Airport.

  Boeing nao walisota sana hadi kufikia hapo walipo. Sasa hivi watengenezaji wa ndege wako wengi sana. Kuna hadi Mitsubishi na Toyota nao wanatoa ndege yao itakayoshindana na hawa akina Boeing 737 na Embraer na wengine.

  Hii ndege ni zaidi ya Russia. Ndiyo maana wanaiita SUPERJET na kama ni AIBU basi aibu ya wengi.

  Kwa ujumla, hii ni project ya pamoja ya Russia na Boeing (USA) na Engine zake wanatengeneza na Wafaransa kampuni ya PowerJet. Inaonekana kuwa Warusi wamejifungua hasa kimataifa na ndiyo maana hata juzi wakati wakisherehekea mwisho wa vita ya II ya dunia, walionyesha hadi gari la Jeshi Made in Italy.

  Sukhoi Superjet 100 - Wikipedia, the free encyclopedia
   
 5. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu naona unajua sana mambo ya AVIATION, mimi nilipo sikia kwamba imeanguka nilijua imefanyiwa mambo ya ujuma, mimi nina shaka na makampuni yanayo hunda Airbus. Kampuni ya Sukhoi hata kama ndio waliunda AIRFRAME ya ndege hiyo wana uzoefu wa miaka mingi kuhunda ndege ambazo zinaweza kustahimili mpaka 10G forces bila matatizo.

  Kwa mawazo yangu wangechunguze mafuta walio jaza yalitoka wapi, je ndege hiyo ililala pale uwanja wa maonyesho au ilitoka Urusi moja kwa moja - kama ililala pale bila ulinzi wa kutosha basi wabaya wao (washidani wao katika biashara hizi za ndege) wanaweza kabisa kuwafanyia lolote, nafikili Brazil (na ndege zao za Embraer) aiwezi kufanya ujuma kama hizo.

  Umenikumbusha ajali za ndege za AIRBUS ambazo huwa zinatokea ghafla na mara nyingi awasemagi ukweli kuhusu kilicho sababisha ajali, na kibaya zaidi wana-muzzle vyombo vya habari visizungumze zungumze sana kuhusu ndege hizo, lakini ndege ya Kirusi ikianguka basi inakuwa headlines dunia nzima na kurudiwa mara kwa mara.

  Mimi binafsi I have never felt safe travelling by AIRBUS regardless of the series/type the plane is too automated, and the worst thing computers huwa zina tend ku-override command za ma-pilots, mwishoni mwa miaka ya themanini au mwanzoni mwa miaka ya tisini niliwahi kushudia AIRBUS ikiwa na abiria kule Ufaransa nasikia pilot alitaka kuonyesha abiria umahili wa ndege hiyo kwamba inaweza kufika chini kama inatua vile alafu ikapaa tena bila matatizo, sasa nini kilitokea: Ndege ikashuka mpaka kama mita 120 hivi kutoka aridhini, pilot alipo weka command ya kupaa ndege ikagoma, computer ikamkatalia kwa kwa kudhani kinacho takikana ni kutua siyo na kupaa! Ndege ikaeda moja kwa moja msituni, kwa bahati nzuri msitu ulikuwa mnene sana ukasadia kama cushion, ni abaria wachache walio umia. Ajali nyingine ya kutatanisha kuhusu ndege hizi za AIRBUS niliyo wahi kuiona kwenye TV ni hile ya Ethiopian Airways aliyo anguka baharini karibu na kisiwa cha Mauritius, niliona bawa moja liligusa maji na kuvuta ndege nzima majini ikapauka vipande vipande. Ya mwisho ni hii iliyokuwa inatoka America kusini kwenda Ulaya, ilihanguka katikati ya Bahari ya Atlantic, mpaka sasa hivi wanasingizia eti pitot iliganda barafu!
   
 6. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,657
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Msubiri Wachunguzi wa ajali za ndege wafanye kazi yao, siyo mnatuletea porojo zenu za baa.
   
 7. u

  utantambua JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Hiyo ya Ethiopia iliangukia madagascar na chanzo chake ni tukio la kutekwa ambapo watekaji waliamrisha ndege iende route ndefu (australia) tofauti na route ya awali iliyokusudiwa na hivyo ndege kuishiwa mafuta angani.
   
 8. d

  dav22 JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 1,902
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  he he he he he he he aisee hii kali kwa sasa Rusia ipo katika wakati mgumu westners hawawezi kukubali Boeing au AirBus au Emberer wakose soko mbele ya warusi
   
 9. Tulizo

  Tulizo JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 849
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35

  Mkuu tunashukuru kwa Mchango ila ningependa kukusahisha kidogo kuwa Ethiopian Airlines hawajawahi kuwa na Fleet ya Airbus, ndege iliyodondoka ni B767. Pia kudondoka kwa Airbus hakukusababishwa na Komputer za Airbus yaani Flyby wire...Pia kumbuka FMC - yaani kompyuta ya Airbus unaweza ku-program Automatic Landing na siyo Flyover... Flyover inafanywa manual na Airbus inaweza kuwa piloted manually...otherwise..Airbus Iko safe sana...ndege ya pekee ya Boeing inayokaribia Fly by wire ya Airbus ni Boeing 777.
   
 10. Mlamoto

  Mlamoto JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 347
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45

  Wewe ni mfuatiliaji na na mjuvi wa mambo nimeona katika uchangiaji wako. Hapo kwenye bold sikubaliani na wewe. Nimeangalia documentary hiyo over and over again. Sina tashwishwi yoyote na maelezo ya kitaalamu yaliyotolewa, ambayo yanasapoti kuganda kwa pitot (supercooled water). Kama pitot ndiyo inayodetermine spidi alafu spidi ikashuka ghafla kwa kiwango kikubwa katika kipindi cha sikunde chache tu. Aeroplane Braking hufanyikaje? huwa haiwi ghafla!
  Jibu lako litakuwa lipi? Na zile black box ni za mapambo?

  Maelezo yako mengine yamekuwa mazuri. Practice makes perfect. AIRBUS in msuli mkubwa naamini unajua hilo. Mataifa yote yale (Ufaransa, Ujerumani, Uingereza etc) na wataalamu wao wote hawawezi kuwa wajinga.
   
 11. Nairoberry

  Nairoberry JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 570
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  watanzania kweli wamesoma.
   
 12. B

  Bukyanagandi JF-Expert Member

  #12
  May 11, 2012
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 7,534
  Likes Received: 3,869
  Trophy Points: 280
  Mkuu nazungumzia ajali iliyo tokea karibu na kisiwa cha Mauritius siyo Madagascar, kama nakumbuka vizuri katika ajali hiyo kuna mwandishi wa habari mashuhuri wa BBC mwenye asili ya India lakini raia wa KENYA naye alipoteza MAISHA.
   
 13. bona

  bona JF-Expert Member

  #13
  May 19, 2012
  Joined: Nov 6, 2009
  Messages: 3,796
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  napata wakati mgumu kuamini sababu ya kuanguka kwa hii ndege iwe ni ubora mdogo, russia is giant in aircraft manufatcure, ndege zao za ilyushin katika range za short range, medium range and long range are the best hata safety record zao pia ni the best, najua west watatangaza sana ili kupunguza ushindani uliopo kwa sasa maana airbus na boeing wanapata wakati mgumu kwa upinzani tayari wanaopewa na embrer, cessna, bombardier etc
   
Loading...