Ukweli Tom Brady hakustahili kupata VMP, ukweli aliyestahili kupata ni yule kijana Butler aliye-intercept mpira ambao timu ya Seatle ilikuwa inaelekea kushinda kwa touchdown. Labda kwa kuwa ni mweusi wametelezesha heshima hiyo kwa Tom. Tatizo wenye majina hupendelewa.
Timu kutoka Washton State imefanya kosa zaidi kuruhusu faulo zilizowarudisha nyuma katika secunde za mwisho.