super8 nusu fainal

super8 nusu fainal

Mapak sasa dakika ya 40 Simba -B 2 na Azam FC 1...Eemungu tusaidia tuwafunge hawa rambaramba....
 
Mpira umekwisha Simba B 2 na Azam FC 1...hongera sana timu yangu Simba hakika tuna akiba miaka miwili ijayo hatuta gombea akina Twite....
 
Simba B kaingia fainali atakutana na Mtibwa Sugar
 
Hawa SIMBA wadogo mimi nawaamini kuliko wale wakubwa
Madogo wanapiga soka safi sana jamani....
 
Mpira umekwisha Simba B 2 na Azam FC 1...hongera sana timu yangu Simba hakika tuna akiba miaka miwili ijayo hatuta gombea akina Twite....
Kabisa kwa kikosi hiki cha Simba B, kinatia matumaini, hao akina Twite waendezao huko kwa wahuni wenzao
 
Simba kaingia final simba 2-1 Azam..mfungaji Edward Christopher
 
Back
Top Bottom