Super-moon: Kuonekana Leo baada ya miaka 68

Super-moon: Kuonekana Leo baada ya miaka 68

Nitapita kesho kusoma uzi huu saivi nina Safari 4 nitazingua •
 
Huku kwetu nimeona jioni saa moja nikasema huu mwezi vipi mbona mkubwa sana umeonekana mashariki
 
Dah nimekosa kuuona, huu mwezi unazunguka sayari gani, umetoka wapi ? Alafu inaonekana kukamilisha mzunguko wake ni miaka karibu 18, maana tunaambiwa mwezi huu utakaribia tena dunia 2034.
 
kwan huu mwez mpk tz tunaouona???alaf naomben habar za kejeli kuhusu dini tusileteane humu ndani bora mtu aanzishe uzi kuliko kubaka mada.
 
mbona nasikia kuna nchi duniani kuna kipindi huwa wanauonaga hio super moon na huwa unatokea mwezi mkubwa sanaa.. na unaonekana kwa ukaribu zaidi mpaka unatisha.
 
Sijaona media yoyote ya kibongo ku cast ili tukio ...interesting
 
Ila mm kwa upande wangu kila siku naonaga hii super moon kwenye movie za vampires
 
niliwahi kuuliza hpa jamvini kwa nini waislamu wanaswali pindi mwezi ukipatwa au tukio lolote linalohusu mwezi lazma ifanyike swala hata km sio muda wa swala? watu wakanikejeli weee hawakutaka hta kunipa elimu.......
Wana Yao mambo
 
Back
Top Bottom