Super Internet speed 2MBps/ 10Mbps baada ya kucombine mitandao 3

I don't like it at all,but i love it!waaay kool!
 
Nipo kwenye mobile, nasikitika like SITOWEZA kupiga!
Dah!!! e2themiza mzazi unatisha kupita maelezo, BIG UP!!
Kwa kuuliza, that means kwamba "MORE USB PORTS ON YOUR PC, MORE MODEMS", Yaani PC iwe na ports 2 au zaidi na modems kadri ya uwezo? Nifafanulie mkuu!
 
Last edited by a moderator:
mkuu naomba nieleweshe hivi kama ninatumia modem moja tu like airtel tu inawezekana kuinstall hii makitu??

but leo umenipa shida kukuelewa kweli imebidi nikonsterate kama nasubiria kufanyia UE manake huko siko kabisa lol! waache wenye fani zao waringe.
 
nilikuwa namaanisha kama una usb port zaidi na utaweza kutumia modem nyingi zaidi pia
 

Dah! Giza tupu, ngoja nitafute fundi nisije halibu kabisa pc yenyewe.
 

Mdau kwanza nakushukuru kwa ma Idea ambayo umeya convey kwetu nimejaribu kuweka hiyo software na imekubali bila shida ila sijawa na connection mbili tofauti ie two modems or a modem and a wireless network or ethernet!
Ila nina 3G wireless gateway ya zain model number ni E960 yenyewe ni kama wireless router ambayo inasehemu ya kuweka line na ina port za ethernet so nilichokifanya nimeconnect wireless ya hiyo wireless gateway na pia nimetap ethernet cable from the same router kuingia kwenye laptop na sioni improvement ya speed ila inaonekana katika dispatch ila speed ni ileile ambayo ningeipata kama ningetumia connection moja kati ya hizo! Je why inafanya hivyo?
 
Mkuu labda sijaelewa vizuri but inaonekana hapo ni connection iyo iyo moja but umeconnect via ethernet na wireless.. so speed itakuwa ile ile haiwezi ika double. au sijakuelewa mkuu
 
Nimeishusha ila itabidi nije ni-test nikija dar maana huku village nilikokuja kula Christmas ni EDGE toka 1st January mpaka 31st December
 
Mkuu labda sijaelewa vizuri but inaonekana hapo ni connection iyo iyo moja but umeconnect via ethernet na wireless.. so speed itakuwa ile ile haiwezi ika double. au sijakuelewa mkuu

Ukweli ndio huo device ni moja ila nimetumia option zote za connection wireless na ethernet na kwenye dispatch inaonesha network zote mbili I thought nikii trick like that ita double speed!
 

Kaka nimefanya kudownload hiyo software lakini niki-install hainipi option ya Connectify dispatch napata hotspot peke yake. Ntafanya nn kupata hiyo Connectify Dispatch niweze kucombine hizo networks.
 
Kaka nimefanya kudownload hiyo software lakini niki-install hainipi option ya Connectify dispatch napata hotspot peke yake. Ntafanya nn kupata hiyo Connectify Dispatch niweze kucombine hizo networks.
Umeidownload kwenye attachment nilioweka na umeinstall kwa kufata steps kwenye readme file?
Kama ndio ukifungua iyo connectify utaona Tab 3 Settings, Clients na ya mwisho Dispatch click it then click Show dispatch
 
kuunganisha huawei modems kwenye komputa moja can be tricky. mimi nimetumia windows dial up na ya pili dashboard ya mobile partner. e2themiza una njia nzuri yaa kuunganisha modem mbili zote huawei kwa wakati mmoja. maana ikifunguka dashboard ya mobile partner 16 ile ya 23 haikubali.
 
yah inawezekana tegeneza dial up pembeni kwanza ata kama una modem model iyo iyo zikiwa 5 zote zitakubali, ukishategeneza dial up pembeni zichomeke zote then funga dashboard ya zote. then nenda kwenye network connection settings na katika settings za izo dial up ulizotegeneza assign kila connection na modem yake kama ni model sawa basi tofautisha kwa com port.. just hakikisha dial up hazingiliani na modem zaidi ya moja pia hakikisha zote zina dialing n.o *99# the zisave na anza kuconnect connection moja baada ya nyingine kama umeset vizuri zote zitaconnect.
 
thanks mkuu.
modem zote nimeziunganisha kwa kutumia windows dial up. na kwa wale wa GURU munaweza kuunga modem zaidi ya moja kwa account moja ile ile. mimi nimetumia modem mbili. angalia maendeleo ya speed hapa chini. the same tunnel guru that you know.
 
of course hii dispatch ni ngumu kwa matumiz ya kawaida ya wabongo ,,,,lkn iko fair kwenu akina munjy1 Paje, e2themiza coz mi ninacho kijua ni vigumu mtu aunge bando mbili may be 200 ya voda
 
Last edited by a moderator:
Nimeinstall vizuri kabisa ila nnavorun connectify.exe Napata error inayoonekana hapo kwenye screen shot yangu. Na connectify ikifunguka katika zile tabs za juu sipati tab ya Dispatch. Msaada kaka!
 

Attachments

  • Capture.JPG
    17.4 KB · Views: 82
  • connectify.JPG
    22.4 KB · Views: 77

Mkuu nimefuatilia mpaka mwisho,mimi nimekwama hapa kuhusu permission Hosts file inapatikana wapi au kama kuna mtu kafanikiwa anielekeze.otherwise nikijalibu Connectify dispatch inanipeleka kwenye mtandao na kunitaka nilipie software.
 
Mkuu nimefuatilia mpaka mwisho,mimi nimekwama hapa kuhusu permission Hosts file inapatikana wapi au kama kuna mtu kafanikiwa anielekeze.otherwise nikijalibu Connectify dispatch inanipeleka kwenye mtandao na kunitaka nilipie software.

Ok Iskip iyo step ya kuedit hosts file kwa sasa haina madhara fuata step izo za mwanzo tu na itakubali
 
Nimeinstall vizuri kabisa ila nnavorun connectify.exe Napata error inayoonekana hapo kwenye screen shot yangu. Na connectify ikifunguka katika zile tabs za juu sipati tab ya Dispatch. Msaada kaka!

Mkuu una run connectify.exe ipi? Iyo iliopo kwenye file nilio attach ni ya kuihamisha katika installation folder tu sio ya kufungulia launch connectify kutoka kwenye desktop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…