Itasaidia mkuu kila modem na kila connection itaongezwa kwenye dispatch haitajalisha mtandao.. so kwa case yako utapata connection twice as fastmkuu e2themiza nikushukuru kwa hii kitu. like always tukikuona umeanzisha thread huwa tunategemea kuona maajabu au tusivyovoitegemea. Sasa niulize kido: kama nitatumia same mtandao let say tigo nikaweka moderm mbili itasaidia chochote au mpaka iwe mtandao mmoja??
Itasaidia mkuu kila modem na kila connection itaongezwa kwenye dispatch haitajalisha mtandao.. so kwa case yako utapata connection twice as fast
Yah mkuu modem na connections zote utakazo zitaka ziwe combined lazima ziwe na bandwith.. pia Hii software ina options kama zifuatavyo..sory mkuu so hapa tunaweka bandle kwenye modem zote au?
Yah mkuu modem na connections zote utakazo zitaka ziwe combined lazima ziwe na bandwith.. pia Hii software ina options kama zifuatavyo..
kama una connection ambayo ni Unlimited Bundle na ikiwa inatumika muda wote sio tatizo, then una connection nyingine ambayo sio Unlimited but ina ka bundle la kusurf maybe na kudownload kidogo.. Iyo ya Unlimited Unaweka Primary na hio nyingine Back Up Meaning Iyo connection Ya Primary Ikizingua (network problem) hapo hapo back up ina anza kufanya kazi hii ni kutokukosesha internet na iyo Primary Network ikisharudi tayari inadetect na kuswitch back to Primary..
Pia ukiendelea kucheki settings vizuri unaweza kuset pia kila connection itumike bandwith kiasi gani n.k