Is better angefika hadi Arusha kabisa kupitia Singida. Nadhani route ya Songea -Arusha (Via Mtera na Singida) ndiyo itakuwa nzuri zaidi kuliko kuishia Dodoma.
Hongera mama spikabkwa kutuletea huduma hii. buni route nyingine kama vile Arusha ...Bukoba
Route ndefu sana hiyo mkuu. Asingeweza kufika kwa siku moja maana nadhani angelala Singida. Kumbuka kutoka Dodoma kuitafuta Singida pana ka mwendo kiasi.Angefika labda kuanzia saa mbili usiku.Arusha angefika kuanzia saa nane kitu ambacho sidhani kama angeruhusiwa.
Marekebisho panapostahili yanaruhusiwa.
Ila kwanini kuanzia Nj0mbe - S0ngea watu wanatapika sana kwenye bus!
Route ndefu sana hiyo mkuu.
Asingeweza kufika kwa siku moja maana nadhani angelala Singida.
Kumbuka kutoka Dodoma kuitafuta Singida pana ka mwendo kiasi.
Angefika labda kuanzia saa mbili usiku.
Arusha angefika kuanzia saa nane kitu ambacho sidhani kama angeruhusiwa.
Marekebisho panapostahili yanaruhusiwa.
This is good move, wengine km shabiby, kimbinyiko, abc wabuni route mpya, big up super feo
Hawa jamaa wametuokaa sana sisi watanzania tuishio Dodoma lakini nyumbani Songea wakati wa kwenda kuona ndugu na jamaa safi sana Super Feo.
Wamewaokoa kivipi au hujui yeye anaingiza pesa?
Hiyo ni huduma na wewe unalipia huduma inayopelekea yeye kupata faida. Au mnasafirishwa bure?
Wamewaokoa kivipi au hujui yeye anaingiza pesa?
Hiyo ni huduma na wewe unalipia huduma inayopelekea yeye kupata faida. Au mnasafirishwa bure?
Hebu waza kama mtu mzima!!!!!!
Kwani wakati hiyo route haipo walikuwa wanaenda
bure???!!
Au kuokolewa kwako ni pesa tu???!!!