Supavaiza

Grenade

Member
Joined
Sep 10, 2012
Posts
79
Reaction score
72
Jamaa mgeni kabisa kaajiriwa kwenye
kampuni;
SUPAVAIZA: Mheshimiwa unaitwa nani?
JAMAA: Naitwa John.
SUPAVAIZA: John nani? Unajua jambo ambalo
nimeligundua ni kuwa watu mkianza kuitana
majina ya kwanza mnazoeana na kazi
inakuwa haiendi. Mi sio rafiki yako mi ni
Supavaiza wako, kwa hiyo tafadhali nambie
jina lako kamili
JAMAA: Naitwa John Mmewangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…