Sup zinafanyika lini Udsm?

Jesus christ!we uko dunia gani ndugu?maandaliz utafanya lini asa?
 
Naomba kujuzwa mitihani ya kurudia kwa walioshikwa inafanyika lini udsm?


Umekamatwa cozi ngapi? Pole sana punguzeni kwenda club msome Vijana.

Enzi zetu kulikuwa na Prof. Alikuwa anakwambia mwanzoni mwa semister kuwa akikushika basi jiandae ku carry Hiyo course, kwamba hakuwa na weledi wa kumfaulisha supplimentary mwanafunzi aliyemfundisha semister nzima then aje afaulu kwa kujisomea ndani ya wiki mbili tu. binafsi nilikuwa naikubali sna principle yake. R.i.p Prof Malisa.
 
Back
Top Bottom