Assalam alaykum enyi watumwa wa Allah. Assalam alaykum enyi wakereketwa wa mtume Muhammad (s.a.w).
ALLAHUMA SWALII A'LAA MUHAMMAD YARABBI SWALII A'LAYHI WASALIM
Hakikaka mtume ndo mbora wa viumbe. Hakika mbora wa viumbe ndiye mbora wa elimu. Hakika mbora elimu ndiye mbora wa matendo. Hakuna matokeo Bora ila Kwa matendo Bora.
Ndugu zangu katika khofu ya siku ya qiyama, Uzi huu n maalumu kabisa kukumbushana Sunnah zilizosahaulika au kudharaulika.
Allah awalipe Kwa ukumbusho wenu.