He he he ... Msinyimane.... 1Kor 7:3-5
alafu kama vile umesha stua bia za kutosha vile!@kitalolo njoo huku umwagie upako
Hahahahah
hebu weka na hile ambayo walikunywa vinyu na ikasifiwa kuwa imetengenezwa vizuri!
ha,ha,ha nina 100% Ruttashobolwa kwa mida hii utakua tungi
Hahahahah
hebu weka na hile ambayo walikunywa vinyu na ikasifiwa kuwa imetengenezwa vizuri!
ha,ha,ha nina 100% Ruttashobolwa kwa mida hii utakua tungi
Amtamanie mke wa jirani yake amezini.
Copy" Vin Diesel
"...........watoto wa .....walipokunywa mvinyo na kuwaka tamaa wakalala na baba yao.........."
son Ruhazwe JR umeamkaje lakini,
nichambulie hivyo vifungu hapo juu.
".............Mpe masikini kilevi asahau shida zake................"
".............fanyeni hivi kila mara mnikumbukapo............."
"..............tumia mvinyo kwa ajili ya matatizo ya tumbo lako..........."
"...........watoto wa .....walipokunywa mvinyo na kuwaka tamaa wakalala na baba yao.........."
son Ruhazwe JR umeamkaje lakini,
nichambulie hivyo vifungu hapo juu.
mama hiyo unaipata 1Timotheo 4:23"..............tumia mvinyo kwa ajili ya matatizo ya tumbo lako..........."
.