......Sunday touch,.....tet us chat.PART ONE

......Sunday touch,.....tet us chat.PART ONE

Na alaaniwe mtu aifanyae sanamu ya kuchongo ... Kumbukumbu la torati 27:14
kumdharau baba na mama yako kumb. 27:16
kusogeza mipaka ya mashamba Kumb 27:17 (Hii ndugu zagu wa meru, machame,kibosho,oldmosh, marangu mpaka rombo inawahusu)
usipomwongoza kipofu kwenye njia sahihi Kumb.7:18
Mahakimu wanaopotosha hukumu kwa kufwata Ruswa haswa kwa wajane na yatima Kumb 27:19
Kumalala mamayo kumb 27:20
ku do na wanyama hii kwa wazungu siku hizi wanapenda sana kutoka mbwa kumb:21
kulala na dada yako kumb:22
kulala na mkweo kumb 27:23

Umetaja zote sasa ....
 
kitalolo Mimi ni jinsia ya KE na humu JF ni Mke wa Filipo ! Maana ya jina langu utaipata kwenye Yoeli 2:25



Asante kwa kwa taarifa. samahani lakini ina maana una mabwana wawili au hata huyu Filipo sio mumeo?

Maana ya jina ni sawa na nimeandika hivyo kuondoa utata maana linaweza kutumiwa na jinsi zote Me/Ke
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa kwa taarifa. samahani lakini ina maana una mabwana wawili au hata huyu Filipo sio mumeo?

Maana ya jina ni sawa na nimeandika hivyo kuondoa utata maana linaweza kutumiwa na jinsi zote Me/Ke

Nadhani nimekuchanganya kidogo niliposema humu JF... Nina mume mmoja naye ni Filipo , tunatarajia kupata mwana mwezi wa 9 ...

Halafu jina lako linanikumbusha chakula fulani hivi.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom