Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 944
Mapenzi
kumtegemea mwanadamu kama ndiye mungu wako Yeremia 17:5
marejesho kibongo bongo wanapenda hiyo una ma,mkwe kicheche anakutega mpaka unaingia kwenye 18 dah!unajibebea laana za kutosha
kitalolo yaan umeifulumua kumbukumbu ya torati 27:15-26 yote.sina swal
Kumtegemea binadamu-(a)yeremia 17:5(b)isaya 29:15(c)malawi 19:31
Alaaniwe alalaye na mama mkwe wake: Kumbukumbu 27:23
marejesho kibongo bongo wanapenda hiyo una ma,mkwe kicheche anakutega mpaka unaingia kwenye 18 dah!unajibebea laana za kutosha
zote hizi nimekwishazitaja hapo nyuma
Udhalimu ,Uasherati,Kuabudu Sanamu,Uzinzi,ufiraji,kulawiti,wizi,ULEVI. 1Kor 6:9-10