sunda internation group

Hapo kama wangekua wanahitaji secretary wangekufanyia interview ya secretary na ungekaa ofisini, sasa we Umefanyiwa ya sales na umekubali kutembeza bidhaa nawe umekosea.
 
Hapo kama wangekua wanahitaji secretary wangekufanyia interview ya secretary na ungekaa ofisini, sasa we Umefanyiwa ya sales na umekubali kutembeza bidhaa nawe umekosea.
acha tu nimejifunza siwezi tena kurudia makosa
 
Kazi ni hiyo ya kutembeza bidhaa mitaani ndiyo maana unajafanyiwa majaribio kwenye kazi hiyo.
 
Huna kazi umepewa kazi unataka ya ofisin mbona watanzania wavivu sana sisi umepata kazi piga mzigo kesho utawaajiri watu wakae ofisin kama unaona n vizuri watu kukaa ofisin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…