Sumu Lowassa mitaani na jijini

Sumu Lowassa mitaani na jijini

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,650
Reaction score
57,043
Habari waungwana
Maneno haya chini ameniambia baba yangu ambaye ni mtafiti wa siasa kwa mda mrefu

"CCM wanashindwa kuamini kuwa wenye nchi wengi waelewa wameshakula sumu lowasa kiasi kwamba pamoja na uchafu wake wanaamini ni mkombozi,CCM wamebakisha mitaji ya wananchi wavijijini kabisa katika vijiji visivyo na umeme.Raia wasio na maendeleo tunaowatetea ndio wamekikumbatia hiki chama CCM.

Ila kwa maeneo ya mijini na katika centre za miji mikuu na wilayani habari ni Lowassa na kulithibitisha hili jana katika tweeter ya Reginald Mengi amesema "ewe mwanasiasa chunga ulimi wako kuna maisha baada ya 2015" kauli hi inaashiria kuwa upinzani kupitia UKAWA wanashinda uchaguzi.Dalili zipo za ushindi UKAWA kwa 56%".
 
Wamemwaga mboga wakati watu wamemaliza kula na mikono wamenawa, too late, wangesema haya miaka nane iliyopita,
Heri mavi ya kale chumbani kuliko choo kilicho jaa na kutitia,
Lowasa aliwajibishwa, wa dowans na symbion mbona wanaendelea kula hela?
Bado lowasa anafaa kuliko ccm, angekuwa mgombea wa ccm nisingempa kura, ila maadam ni mgombea wa ukawa kura yangu anayo. Katiba ya wananchi juu!
 
Kura ni kwa Lowassa kwanza baada ya hapo tutajadili vinginevyo!!
 
CCM itoke kwanza wakajiulize wapi wamekosea, 5yrs ukawa wakizingua tuna change gear
 
Habari waungwana
Maneno haya chini ameniambia baba yangu ambaye ni mtafiti wa siasa kwa mda mrefu

"Ccm wanashindwa kuamini kuwa wenye nchi wengi waelewa wameshakula sumu lowasa kiasi kwamba pamoja na uchafu wake wanaamini ni mkombozi,ccm wamebakisha mitaji ya wananchi wavijijini kabisa katika vijiji visivyo na umeme..raia wasio na maendeleo tunaowatetea ndo wamekikumbatia hiki chama ccm..ila kwa maeneo ya mijini na katika centre za miji mikuu na wilayaan habari ni lowasa na kulithibitisha hili jana katika tweeter ya reginald mengi amesema "ewe mwanasiasa chunga ulimi wako kuna maisha baada ya 2015" kauli hi inaashiria kuwa upinzani kupitia ukawa wanashinda uchaguzi..dalili zipo za ushindi ukawa kwa 56%"


Hali halisi mikoani na vijijini.....

18.jpg

Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli akihutubia umati wa wakazi wa Songea mjini waliofurika kwenye uwanja wa Maji Majikumsikiliza wakati wa kujinadi kwenye mkutano wa Kampeni za CCM.

29.jpg


17.jpg


majimaji songea....

13.jpg


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu wakazi wa kata ya Mundindi waliojitokeza barabarani kumsalimia.

21.jpg


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwasalimu Watawa wa Kanisa Katoliki waliojitokeza kumsalimu alipokuwa njiani kuelekea Makao Makuu ya Wilaya ya Ludewa kwenye mkutano wa kampeni za CCM.
24.jpg


Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akihutubia wakazi wa kijiji cha Itundu kata ya Mlangali ambapo alisema kuwa endapo ataingia madarakani atahakikisha atatoa elimu bure mpaka kidato cha nne,ataboresha huduma za afya pamoja na kuhakikisha haki za msingi za wakulima, walimu na wafanyakazi zitaboreshwa.

<span style="color: rgb(0, 0, 0); font-family: Arial, Helvetica, sans-serif; font-size: small; line-height: 32px;">
 
Last edited by a moderator:
Idadi ya watu inatia mashaka mbinu zaidi za ushindi zinahitajika
 
Back
Top Bottom