Sumu Kuvu (Aflatoxin): Chanzo, athari na udhibiti

karv

JF-Expert Member
Dec 26, 2019
1,799
3,221
Ni wakati wa kuwalisha wanyama mabua na makapi ya mazao kama mahindi, shayiri, mtama na maharage.

Japo mavuno ni neema , kwa wakulima wengi wa Tanzania ni maumivu kwa sababu huumizwa na kile kinachoitwa hasara zinazotokea baada ya kuvuna mazao mashambani.

Hasara zinaambatana na kupoteza mazao mengi yanayobakia shambani, yapo yanayoharibika , kuna mazao yanayovunda kutokana na kuvuna mazao mapema kabla hayajakauka ipasavyo. Wapo wadudu wanaotoboa mazao kama pekecha wanaoyavamia kutokana na kukosa sehemu za kuyahifadhi na uhaba wa viatilifu rafiki vya kuangamiza wadudu hao.

Kuna mazao mengine mengi yanaliwa na mchwa na wanyama kama panya wanaoyashambulia baada ya kukomaa. Lakini, kubwa ni tatizo linalotishia afya na uhai wa wakulima na walaji, hii ndiyo changamoto kubwa inayotokea wakati huu wa kuvuna kwani yanachafuliwa na sumu kuvu.

SUMU KUVU NI NINI?Sumu kuvu inayotajwa kuwa ni hatari kwa afya ya binadamu inapenda kujihifadhi kwenye mahindi na karanga.
Kwa mujibu wa taasisi ya kimataifa ya utafiti wa kilimo katika ukanda wa kitropiki (IITA) , mazao haya hutunza wadudu jamii ya kuvu, ambao kitaalamu huitwa aflatoxin na wanatokana na fangasi au kuvu wanaojulikana kama ‘Aspergillus flavus’.

Kwa mujibu wa kipeperushi cha IITA kiitwacho ‘All about aflatoxin’ kuvu hao wanaoishi kwenye udongo na kwenye mabaki ya vitu mbalimbali vilivyooza shambani, hawaonekani kwa macho , hivyo si rahisi mkulima kuwabaini.

Mazao yanaweza kushambuliwa na sumu hii yakiwa shambani, iwapo yataanguka chini na kugusana na wadudu hao walioko ardhini ama kwenye masalia ya mazao yaliyooza.
Wakulima wanaelezwa kuwa sumu kuvu ni hatari kwa vile ni chanzo maradhi ya ini. IITA inasema ni sumu hatari mno husafiri kutoka kwa mama anayenyonyesha iwapo akila chakula chenye sumu kuvu na atampa mtoto wake maziwa sumu hiyo inamdhuru.

“Sumu hii inasafiri kutoka kwenye mazao hadi kwenye bidhaa za nyama kama maziwa, jibini,mtindi, nyama, mayai iwapo mifugo italishwa mahindi, pumba, unga , mabua na mashudu au mafuta ya karanga walioshambuliwa na sumu kuvu.” Inasema IITA.

Wakati mwingine wakulima wanahisi kuwa wameona kuvu kwenye mazao yao hasa mahindi na karanga lakini watalaamu wanasema fangasi hawa hawaonekani kwa macho, ila hugundulika kwa vipimo vya maabara pekee.

“Kuvu Aspergillus flavus ana rangi ya njano au kijani , lakini hata unapoona kuna fangasi wa rangi hiyo kwenye mazao inawezekana wameshambuliwa na kuvu hao ama hapana,” kipeperushi kinaeleza.
Wakulima wanatakiwa kufahamu kuwa unaweza kuwa na mahindi ama karanga zisizo na rangi hizo lakini zina kiwango kikubwa cha sumu kuvu, hivyo rangi isiwe kigezo , badala yake wakulima wategemee maabara kufahamu ukweli.

ATHARI
Taasisi hii inaitaja sumu kuvu kuwa inaathiri binadamu na kumsababishia magonjwa na kifo, amabcho ni matokeo mabaya ya sumu kuvu.
Iwapo watu watakula vyakula vyenye kiwango kikubwa cha sumu kuvu wanakufa mara moja. Ndiyo maana wakati mwingine kuna taarifa za familia moja kupoteza watu wengi baada ya kula ugali wa mahindi au mhogo wenye sumu kuvu.
Aidha, taasisi hiyo inataja kuwa watu wakila chakula chenye sumu hiyo kwa muda mrefu wanapata saratani ya ini. Pia inaharibu mfumo wa jeshi la kinga ya mwili na kusababisha kushambuliwa na magonjwa mara kwa mara. Kwa watoto inasababisha ukuaji duni, udumavu na utapiamlo hata vifo..

Sumu kuvu ni hatari kwa wanyama mfano kuku wakila hudhoofika na kushindwa kuzaliana na kuzalisha mayai ya kutosha.
Biashara za mazao pia huathirika kwani teknolojia nyakati hizi zinapima na kutambua vyakula vyenye kasoro, uduni, ubora ama venye viwango vinavyohitajika na kukubalika kimataifa.

UDHIBITI
IITA inasema ili kujiepusha na athari za sumu kuvu wakulima wazingatie uvunaji salama, unaovuna mazao yakiwa yamekauka kikamilifu na siyo kuchanganya na mabichi.
Aidha, wasivune yaliyoanguka chini na kuchanganyikana na udongo.
Kuchambua mazao ni jambo linaloweza kuyaepusha na sumu hiyo, taasisi inashauri. Kuchambua huko kuondoe mahindi yaliyoliwa na wadudu, ndege na panya ili yasichafue mengine mazima. Aidha, ukaushaji uwe kwenye kichanja, nyavu na chekeche ili mazao yasigusane na udongo unaioweza kuwa na kuvu.

Pia wakulima wanashauriwa kukausha na kuhifadhi mazao kwenye maeneo makavu yasiyo na unyevu, yasiyonyeshewa na pia mazao yatunzwe kwenye mifuko, vihenge na vyombo vikavu . Aidha wadhibiti wadudu wanaobungua kuepusha uharibifu unaoweza kusaidia kuvu kupenya.

“IITA inawashauri wakulima kutumia ‘aflasafe’ kuua sumu kuvu. Inaeleza kuwa inawaua kwa asilimia 99 kuvu hao kwenye mazao na madhara yake ni madogo kwa watu na ekolojia.”
Kula lishe bora ni njia nyingine ya kuzuia sumu kuvu isiwe na mkolezo (concentration kubwa ) mwilini.

Ili kupunguza sumu hiyo taasisi hiyo inawashauri wananchi kula mlo uliokamilika wenye mchanganyiko mbalimbali wa wanga, chumvichumvi, protini, mboga, mafuta na matunda.

Kula chakula chenye mahindi kwa wingi kama ugali na mboga zilizoungwa karanga kuna uwezekano wa kutumia kiasi kikubwa cha kuvu. Kwa hiyo ni vyema kula mlo uliochanganywa maziwa,mboga, mafuta, protini, matunda na wanga kama mchele, viazi na magimbi.

“Tuache kula ugali mkubwa kila siku , tutumie kiasi kidogo tuongeze viazi, magimbi, viazi vya chips, ndizi maboga na kula porotini za nyama, samaki, kunde, maharage na matunda ili kukwepa kula ugali zaidi,” inaeleza IITA.
7337913b8f2f00ea.jpg
 
View attachment 2066004
Asante sana Kwa Somo
 
Umesahau kwenye viazi pia kuna solanine...kimsingi tuzingatie ulaji wa chakula bora na salama.

Asante kwa andiko.

#MaendeleoHayanaChama
 
Kwanini hujasema kitu ambacho ni obvious, kwamba watu waache kula vyakula vilivyovunda na vilivyochacha, we umeng’ang’ania vipimo vya maabara as if ni kitu ambacho kila mtu anacho jikoni kwake, au majiko ya huko kwenu kuna maabara kila jiko?
 
Unge reply kistaarabu maneno yako yangefaa na kuwa msaada mkubwa sana
 
Microbiology hyo ,hongera Sana ,Aspergilus Flavus
 
Baada ya kuona picha ndo najua kua kijijini tumekula sana hii sumu, huenda shida ni kubwa sana,
 
Yes,somo zuri sana.
Nimekuwa nikiona hayo mahindi tangu nikiwa mtoto mashambani.
Wangeanza kufanya utafiti ni madhara kiasi gani yametokana na sumu kuvu kwa binadamu.
 
IITA inawashauri wakulima kutumia ‘aflasafe’ kuua sumu kuvu. Inaeleza kuwa inawaua kwa asilimia 99 kuvu hao kwenye mazao na madhara yake ni madogo kwa watu na ekolojia.”
Mkuu hii Aflasafe inapatikanaje?

Maana hizi njia nyingine ya kuvuna mahindi mpaka yakauke Kuna baadhi ya sehemu zina changamoto za wanyamapori kama tembo,nyumbu,tumbili hivyo inawalazimu wakulima kuvuna mapema kuokoa mazao yao
 
Back
Top Bottom