Sumu inazuiwaje na maziwa

Sumu inazuiwaje na maziwa

Maziwa yana madini mengi ya calcium. Sasa calcium huungana na sumu na kutengeneza complex salts/chumvi tata ambazo haziwezi kunyonywa kuingia kwenye damu kutoka tumboni. .ndiyo maana haishauriwi kunywa maziwa na baadhi ya dawa kama tetracycline au ciprofloxacin sababu calcium itaungana nazo na kusababisha dawa isinyonywe kwenda kwenye damu.
Asante nakupata fresh kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vp kuhusu maziwa na vumbi au moshi? imekuwa mazoea kwa watu wanaofanya kazi kwenye maeno yenye vumbi au moshi kunywa,je ni kweli maziwa yanasaidia athari zinazo sababishwa na vumbi au moshi?
Kweli ngoja nisubiri jibu,hakuna social media nyingine ambayo hunitolea ujinga kama jf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maziwa yana madini mengi ya calcium. Sasa calcium huungana na sumu na kutengeneza complex salts/chumvi tata ambazo haziwezi kunyonywa kuingia kwenye damu kutoka tumboni. .ndiyo maana haishauriwi kunywa maziwa na baadhi ya dawa kama tetracycline au ciprofloxacin sababu calcium itaungana nazo na kusababisha dawa isinyonywe kwenda kwenye damu.
Safi
 
wadau walivyo elezea ni sawa lkn tukumbuke kuwa maziwa yanaweza ku speed up rates ya reaction ya poison katika mwili na ndio ndio maana kuna specific antidote kwa kila sumu sometimes maziwa is not trusted

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bado sijapata hapa kuhusu maziwa kukata dawa,, msaada tafadhali
 
Wale waliotengeneza Zanzi na amarula mbuzi kabisa kumbe walikuwa wananitia hasara tuu nkinywa coz wameweka maziwa ila sema zilikuwa ni hatari kwenye game mtoto wakike anaweza ita babe motooo

Ni kwa namna gani MAZIWA hufanya kazi kupunguza makali ya sumu mwilini ?

Katika ukurasa wangu huu nitakua nikizungumzia masuala mbalimbali yanayohusu mambo kadha wa kadha yanayohusu mifugo/wanyama, ufugaji na wafugaji. Nitaelezea masuala kadhaa yanayohusu, historia, tamaduni, tabia, teknolojia na mambo ya kustaajabisha ya mifugo na mazao yake hali kadhalika wafugaji...
 
Hapa nakuunga mkono mno, lakini vipi kuusu mayai na pombe nlipigaga yai nikaja weka vant😥 yai zilirudi zote kwenye frampeni
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom