Miaka fulani hivi huko nyuma kulikuwa na toleo fulani hivi zilikuwa zinakuja na inbuild projector baadae sikuziona tena sikoni. Vipi ziliacha kutengenezwa?
simu za kila jambo hila kutokana na kampuni za tecno,itel,bontel sijui uchafu gani watu mkasahau kuwa kulikuwa na vitu vzuri.kama na fanya biasha ni ngumu kuleta kitu ambacho watu wamekalili mauchafu ambayo hata kutengeneza hivo mpaka wasubiri kampuni kubwa kufanya kikipata soko waje kutengeneza