s6 hatuna s6+
ila s6 edge ipo 6 edge+.
mkuu hii mada ya simu ref ipo,na una haja ya kiitembelea,simu nyingi kkoo sio mpya,kwa maana ilitoka kiwandani ikaatulia ktk box mpaka inakutana na wewe,bali zile zilitumika nchi za watu,zikakusanywa tena kufanyiwa marekebisho kisha kuwekwa ktk box na kuunzwa tena huku africa.
kutokana na mzunguko hup ndio maana simu inakuwa na tabia zisizoeleweka,mfano kuzima ghafla,kuchemka,kukata mtandao nk.
wanaobahatika kununua simu mpya nje ya nchi,au hata hapa ndani ni wachache sana,na kiukweli kabisa 100% hawajutii,unakuta mtu ana simu mwaka wa 5 huy haujawahi kusumbua hata kidogo.