Nauza sumsung galaxy tablet T555 ambayo inatumia SIM card na Wi-Fi na hivyo unaweza kupiga na kupokea simu. Ipo katika hali nzuri sana. Ukubwa wake ni inchi 9.7. RAM 2 GB, storage ni 16 GB. Inakuja na accessories zake pamoja na cover yake original sumsung imara sana.
Bei ya tablet na cover yake ya ukweli ni Sh. 330,000.
Location: Dar es Salaam
Bei ya tablet na cover yake ya ukweli ni Sh. 330,000.
Location: Dar es Salaam