Sumsung Galaxy Orijinal zinauzwa bei nafuu

Sumsung Galaxy Orijinal zinauzwa bei nafuu

Aaron

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
3,019
Reaction score
4,695
S3-300000
S4-400000
S5-600000

Mpya zote kutoka marekani
nipo dsm
 
S3-300000
S4-400000
S5-600000

Mpya zote kutoka marekani
Cont.0768497592 nipo dsm

Hizo ni Original au Clones?? maana kwenye heading ya tangazo umeandika 'Sumsung' - 'orijinal' !! ntahitaji hiyo S5 kama ni 'Samsung' - 'Original',,
 

Original,
ku kumbuka kutoka marekani haina maana ndo original,
zinaweza kuwa zilipita tu kwa sababu mletaji alipita huko,
so hii hai guarantee originality yake.
nyoosha maelezo...
 
Hyo isue simple 2.. Mwambien atoe imei # za hzo cm unaingia website hii:www.imei.info.unaingiza hzo # utaona specification had picha ya hyo cm..na Kama ni clone utaon cm nyingne tofaut kabsa na hyo ilyotajwa eg;Nokia,Siemens etc
 
Back
Top Bottom