sumsung galaxy note 9 yawa chini kwa speed

Halau wakajibu hivi(chanzo forbes)
Huawei always prioritizes the user experience rather than pursuing high benchmark scores – especially since there isn’t a direct connection between smartphone benchmarks and user experiences. Huawei smartphones use advanced technologies such as AI to optimize the performance of hardware, including the CPU, GPU and NPU.

When someone launches a photography app or plays a graphically-intensive game, Huawei’s intelligent software creates a smooth and stable user experience by applying the full capabilities of the hardware, while simultaneously managing the device’s temperature and power efficiency. For applications that aren’t as power intensive like browsing the web, it will only allocate the resources necessary to deliver the performance that’s needed.

In normal benchmarking scenarios, once Huawei’s software recognizes a benchmarking application, it intelligently adapts to “Performance Mode” and delivers optimum performance. Huawei is planning to provide users with access to “Performance Mode” so they can use the maximum power of their device when they need to.

Huawei – as the industry leader – is willing to work with partners to find the best benchmarking standards that can accurately evaluate the user experience.
Ukisoma hio article ya Anandtech utaelewa vizuri. Hio power mode inaswitch on kwenye benchmarks tu ukifungua hizo intesive apps haiwi on.
 
Ndio ila huawei wali comment juu ya hilo suala na kuna sehemu kwenye hio statement wanasema kwamba in normal benchmarking scenarios, once Huawei’s software recognizes a benchmarking application, it intelligently adapts to “Performance Mode” and delivers optimum performance.

Wanakubali kabisa kwamba kwenye benchmark applications soc inakuwa kwenye perfomance mode,ndio maan nilikuonyesha hapo walichojibu,.
Nimesoma juu ya Anandtech nikaelewa juu ya cheats za huawei.
 
5g ni standard ikitoka watatoa wote,hawa wanaojinasibu mapema ni PR marketing tu.
Apple na Samsung hawajasikika bado kama watakuwa wana mpango wa 5g lakini huawei ametangaza 2019 kuja na 5G kwenye chip zak za kirin,wanasema itakuwa 10Gbps, nionavyo huawei wanaweza kutangulia kabla ya Samsung na apple na pia Xiaomi walitangaza juu ya huo mpango, kitu nachoweza kusema hapa ni kwamba hii 5G ya huawei wanaweza wakatangulia wao kwa sababu huawei hawana mpango wa kutumia modem za Qualcomm wanaweza buni za kwao,naona officially itakuwa China na haitokuwepo hii huduma marekani.
Kama itakuwa hivi hawa jamaa wanaweza kuziba nafasi kwa samsung na apple nchini China.
 
Mkuu usikisikia mtu ananadi 5g kwa gbps eka question mark kubwa,wanatake advantage ya uma kutoelewa haya mambo ili waweze kutrend kwenye media.

Kwenye 5g kwa mara ya kwanza sio mobile first,yaani kuna vitu kibao 5g inaviangalia kama vile.

1. Magari yanayojiendesha yenyewe
2. Viwanda vinavyojiendesha vyenyewe
3. Internet of things vitu vidogo vidogo kama mageti ya internet,keyholder za internet,maroboti ya internet etc

Kifupi tunapokwenda unaweza ukawa na mamia ya vifaa kwenye nyumba yako na vyote vinahitaji internet.

Kama hii internet ya sasa mkiwa kwenye msongamano kidogo kama maeneo ya vyuo speed inadrop, angalia kama TTCl na Halotel sasa hivi speed yao ni ndogo sababu ya wateja wengi. Zamani walikuwa na speed nzuri tu.

Hivyo hapa unapata kitu cha kwanza ambacho 5g inakuja kukitatua. Capacity.

5g sifa yake kubwa ni uwezo wa kuhudumia mambo mengi kwa wakati mmoja bila kudrop speed.

Pia 5g wana aim kwenye 1ms ping ili information zifike kwa haraka zaidi, vitu kama viwanda na mashine za hospitali au magari yanayojiendesha yenyewe havifaidiki na speed ya internet, hata 1mbps inatosha ila vinataka ping ndogo sana,

Mambo mengine ni kama energy efficient na scalability.

Ndio maana unaona kuna vyombo vya standard kama Imtu 2020 ambayo ipo kwa ajili ya kuweka standard tu, mpaka 2020 itakuwa imekamilika standard.

Sasa hivi ni muda wa kupigwa changa la macho kama vile kipindi cha 4g. Kwa wale wahenga wenzangu mtakumbuka simu kama note 1, s3 etc zilikuwa zinakuja na network ya 4g feki,hata ukieka line ya 3g inaandika 4g, na baadhi ya mitandao kama ya kimarekani wakaita hspa+ kuwa ni 4g, yote hii ni kubrainwash watu wa kawaida wasiojua lolote ili wanunue bidhaa zao.
 
Well siku tukisikia imeanza kufanya kazi nadhani tutakuja tena humu kufahamishana mungu atupe uzima.

Mpaka muda huu tunapoongea huawei wameshafanya trial katika large scale field na docomo huko Japan na walifaulu kwa zaidi ya 10Gbps na pia latency ilikuwa below 1ms licha ya hivyo huawei wanashirikiana na kampuni nyingi sana duniani katika hili suala la 5g.
Kwa hio latency ni accurately sana hasa kwa hizo gari za kujiendesha kwa maana standard ni 1ms lakini tazama hio latency.

October 2017 wakishirikiana na LG huawei walifanikiwa ku demonstrate(UHD)IPTV kwa mara ya kwanza duniani kwa kutumia 5G wireless na kufanikiwa.

September 2017 Huawei wakishirikiana na Intel walishirikiana kufanya jaribio juu ya 5G na walifanikiwa kwa kiasi kikubwa.
Pia huawei na kampuni kama Ericson wanashirikiana pia hasa katika mifumo ya gari za kuendesha na Scania.

Huawei wameshirikiana na England katika jaribio la 5G na kufanikiwa.
Jaribu kusoma hapa wamezungumzia vyote hivyo ,kuanzia viwanda robots na gari za kujiendesha.
5G is Now

Mkuu mimi naona hawa jamaa wapo seriously kwani hata serikali ya China imedhamiria kabisa ku- support karibu billion 400 usd zitawekezwa katika mpango huu, siwezi sema ni kiki wanatafuta kwa maana juhudi zao zinajionyesha dhahiri na kama wanafanya haya kupata kiki ili wauze simu basi watapata hasara tokana na kiasi cha pesa walichokwisha tumia,itafikia muda qualcomm itabidi wawe wapole tu.
Kwa maana huwezi ukaongoza milele hata Nokia hakuna aliye amini kama wangekuwa hivi leo,pia AMD in early 2000 hakuamini kama Intel angemfikia,pia blockbuster hakuamini kama netflix angemzidi.
 
Ngoja tuone mkuu, muda utakuwa mwalimu.
 
Watanzania baadhi tunaongoza kwa vitu vya kipuuzi kweli, wenzentu wanashindana kwa Technology sisi tunashindana kwa kubisana mwanaume alicho tengeneza kuwa ichi kina speed kuliko ichi.

Kitu chochote latest lazima kiwe na maboresho kuliko kilichopo sokoni, Iphone wametoa juzi tu lazima wangalie nn cha kuboresha kuliko alie toa simu wa kwanza galaxy.
 
Back
Top Bottom