iphone se 2
Member
- May 25, 2018
- 72
- 60
sumsung baada ya kutoa sumsung galaxy note 9 huku wakiisifu kwa hali ya juu kuwa ina speed kubwa huku ikiwa na prosesa ya snapragoni 845 lakini haijafua dafu kwa iphone xs max huku iphone xs max ikiwa na speed ya hali ya juu checki hii video