Asante kwa ushauri wakuu, my budget ni 450k kuhusu note 10 sitaweza, kuna mdau kanambia cheki rodmi note 11, nimeicheki gsm arena kikubwa nilichofurahi wametumia amoled, battery 50000 mAh naeza ifikiria naomba kujua bei, .......japo nilitamni hii note 8 au s9 + sema s9 plus inakula sana chaji kutokana na chipset yake ilivo,,, kuhusu android 7 yake kuwa upgradable hadi 9 oreo tu na kutokupokea updates zingine mimi sijali, maana ata adroids kama lollipop, Marshmallows still ni nzuri, hili la wadau kusema refurbished phones zina shida ndio imeniondolea shakua ya kuvuta note 8 Binafsi wasiwasi wangu ulikuw tu ni kweny betri mAh 3300 tu... Japo natamani hiyi edges phones sana... Midrange sitamni ata kusikia hii ni baada ya kununua a 10s kioo kama cha saa, alafu naomba ushaidi wa mtumizi wa hizi flagship kuanzia mwaka 2018 kushuka chini s series na note series kuhusu ukaaji wa chaji kwa simu zenye mAh chin ya 3500. Mimi natumia j 7 2016 simu ya maika 6 iliyopita ila ni nzri kiasi nimejichanga ntak not8 ya 2018 kweli ntajutia?