Sumsung galaxy note 3 inazingua

ugido

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Posts
421
Reaction score
104
Habari wadau wa jf, nina simu ya samsung galaxy note 3 inaandika unauthorised actions have been detected restart your device to undo any unauthorised changes. Na hiyo message ikitokea mtandao wa net unakata niki restart baada ya sekunde 10 kinarudi tena nifanyeje ili nikitoe? Mojakwamoja.
 
Kweli chief mkwawa nisaidie
 
Msaada jaman mamba chief mkwawa
 
nimejaribu njia zote hizo kimegoma kutoka kiko palepale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…