Simu tajwa nikiichaji inaleta Alama ya pembe tatu rangi ya njano. Sijui tatizo nini? Kuna vitu vyangu kibao nataka kuhamisha msaada wajuzi. Na chaji haingizi.

tatizo litakuwa betri simu ni samsung ila ww umeweka betri la tecno au brand nyingine za wachina wa kariakoo..au chaji yako inatoa umeme mdogo kuliko mah za betri ni kubwa..tafuta chaji kubwa kuanzia output 5 V= 2.0 A