stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,765
Inna lillah Wainna lillah Raajiun.
yaani umenishitua nikajua ajari tena...
Ni ajalo kweli,lakini ilitokea siku nyingi zilizopita!Kwani Hii sio ajali mwenzeutu?
Ni ajalo kweli,lakini ilitokea siku nyingi zilizopita!
Si juzi tu hapa..!? au?
acha kutetea upuuzi mkuu,hivi saa 8 ya usiku mnaenda wapi na basi?kwanini msipaki hata kabla ya saa 5 kama mnaona hampo ktk mazingra ya kuimaliza mbuga mapema?UKIAMUMUA KU-TAKE RISK,KUBALIANA NA MATOKEO YAKE YANAYOWEZA KUJITOKEZA,(kwamfano,ukitembea na mwanafunzi,kubaliana na kifungo cha 30yrs ukikamatwa)HAKUNA KUMSINGIZIA MUNGU KWA LOLOTE HAPO
Hata kama ni siku mbili zilizopita ni siku nyingi!Si juzi tu hapa..!? au?
Kwanini unasema hivyo mkuu?Hapa naona wasomaji wenyewe bado wana uchovu wa weekend
Nimetetea upuuzi gani!!!!!!
mama yangu mdogo kafariki katika hiyo ajali halafu unaniambia natetea upuuzi!!!!!!
wametoka Mbeya wanaelekea mpanda moja kwa moja!!!!!!!!
siku ya jana tumetoka kumpumzisha katika nyumba ya milele
Machungu ambayo ajali hii imenisababishia
ni kubwa sana na kidonda ni kibichi!!!!!!
kwahiyo tuheshimiane sana
Hata kama ni siku mbili zilizopita ni siku nyingi!
Pole sana mkuu.
Hata hivyo bado haihalalishi uzembe wao wa kutembea muda ambao hauruhusiwi kisheria.KUTEMBEA USIKU NI RISK SANA,SIO KWA GARI TU,HATA KWA MIGUU.HIVI INGETOKEA MAJAMBAZI WAMEWATEKA THEN WAKAUA WATU KUMI SI MNGEWASEMA SANA KWA UJINGA WAO WA KUTEMBEA USIKU.?ACHA KUTETEA UPUUZI.
kuwa na staha kwa kujua
muda na aina ya maneno ambayo unatakiwa kumwambia mlengwa ukizingatia
yupo kwenye matatizo,
ficha UPUUZI wako