Fisadi huyu!Habari zisizo na kichwa wala miguu!Ban ban ban!Ban ban ban!Kwa sheria za JF, huyu anahitaji ban kwa kuleta habari za uzushi ambazo hajaweza kuzitetea uhalisi wake. Ameleta mada tata na amekaa kimya bila kuitetea na anaoneka yuko online muda huu!